Ving'amuzi vipya!!!!!!!


Hauwezi kukwama kwa sababu hawawezi kujali maoni ya wananchi wanasemaje
 
Dstv lini wataanza kuonyesha local channel jamani? Au ndio inatubini tununue ving'amuzi vingine

Mkuu unapelekea hawana huo mpango. Tumejadili kwenye thread niliyoianzisha yenye title 'serikali Imewekwa Mfukoni na kampuni ya Multichoice' iko hapa kwenye habari mchanganyiko lakini watu wameshaitupilia mbali na kuwa kama upepo unaopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…