juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Kwanza niseme tu wazi kwamba hongera zimfikie mwenyekiti wangu chadema na wajumbe wa baraza kuu kwa kazi nzuri sana na nzito waliyoifanya jana ya kutuketea katibu mkuu ea chadema.kiukweli wamefanya uteuzi mzuri kwa sababu hajatoka kaskazini kama watu wengine walivokuwa wanafikiri,na sio mbunge na wala sio jina maarufu kabisa kama wengi walivokuwa wanabashiri.pamoja na sifa zote tunazompa huyu kijana mwenzetu ila mimi bado nna maswali ya kujiuliza,
Je huyu jamaa ataweza kukiunganisha chama ,namaanisha kuunganishwa wanachama wote na kutusahaulisha makosa yetu ya mwaka jana ambayo pengine kwa namna moja au nyingine yalitugawa(kumpoteza dr,slaa na kumpokea lowasa kisha kumpa ugombea),lakini pia ni je ataweza kukirudisha chama kwenye misingi yake ya kuchukia rushwa na kupinga ufisadi ? Kwa sababu kupokea makapi ya ccm tena wengine tumewaimba 8 years kwamba ni mafisadi harafu mwisho tukawasafisha.je ataweza kukimbizana na mchakamchaka wa kinana? Kwa sababu Dr slaa alikuwa makini sana na kukimbizana na huyo Kinana,tukumbuke kwamba kinana aliweza kukipa umaarufu chama chake mara baada ya kurudishwa ukatibu mkuu,maana kilipoteza mvuto sana.je ataweza kuwa mtu ambae atakijenga chama na kuweka misingi imara kama alivokuwa anafanya Dr slaa?tusije tukasifia tu elimu yake harafu jamaa akaja akashindwa majukumu,tunahitaji chama kije kiwe maarufu hadi vijijini huko zaidi ya ilivo leo na kije kishike dola.nawasilisha