Vincent Nyerere kuunguruma Isimani

Vincent Nyerere kuunguruma Isimani

Martoism

Member
Joined
May 31, 2012
Posts
36
Reaction score
21
Mbunge wa Musoma Mjini mh , Nyerere anatarajiwa kufanya mikutano kwa siku mbili mfululizo jimbo la Isimani Mkoani Iringa. Mikutano hiyo itafanyika tar.11 na 12 Januari 2015 .

Pamoja na mambo mengine mikutano hiyo inabeba ujumbe wa kuwashukuru wananchi kwa kuichagua CHADEMA na kutoa elimu ya demokrasia kwa Umma dhidi ya ushiriki wa wananchi katika kura ya HAPANA kwa katiba Mpya na kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la wapiga kura.

Aidha Mwaliko huu umetokana na Makamu mkt wa BAVICHA Taifa Patrick Ole Sosopi ambaye atakuwa mwenyeji wa mh, Nyerere .

Ole Sosopi amekuwa akipata vitisho na ahadi za kutaja kuwa anahitaji kiasi gani cha fedha kutoka kwa Waziri wa Nchi Sera na Uratibu wa Bunge mh, William Vangimembe Lukuvi ili aweze kumwachia Jimbo la Isimani apite bila kupingwa.

Sosopi amekanusha vikali kutokuogopa vitisho hivyo na akaenda mbali zaidi kueleza kuwa kama huko nyuma Jimbo liliwahi kuuuzwa yeye hana bei na Wanaisimani wawe tayari kumchagua kwenye Uchaguzi mkuu ujao wa mwezi Octoba kwani yeye ni Kijana Mahiri Mweledi na Mzalendo kwa Taifa .

Lukuvi amenukuliwa maeneo mengi akisema kuwa Mbunge wa kumwondoa yenye Isimani bado hajazaliwa. Huku akiongea kwa hofu kubwa katika mkutano wake katika Kata ya Malengamakali (Mkulula) ambako amezaliwa Makamu mkt wa BAVICHA Taifa alimbeza kuwa hawezi kuwa Mbunge wa Isimani kwa kuwa hajawahi kuwa hata mkt wa Kitongoji.

"Mimi Nina vyeo vingi huko Serikalini , nlishawahi kuwa mkuu wa Wilaya na Mkoa sasa huyu kijana ( Sosopi) hata hajawahi kuwa mkt wa Kitongoji atauweza Ubunge ? " aliskika akihoji wananchi huku akizomewa kwa mayowe.
 
Lukuvu ni moja ya masisiem ambayo siyapendi.

Mzee anaishi kinafki nafki sana na kwa kujipendekeza sana.
 
asisahau kuwaelimisha wananchi kuhusiana na rushwa ya ulanzi anayotoa lukuvi .
 
Lukuvu ni moja ya masisiem ambayo siyapendi.

Mzee anaishi kinafki nafki sana na kwa kujipendekeza sana.

Kama hana elimu ulitegemea ataishije na midadi yake jamaa alkuwa sharo mpaka akalemaaa
 
Hili Jamaa wacha waliondoe huko Isiman...Mh .Nyerere tembelea mwaga "sumu" kooote huko,Adui ChiChiem afe kifo cha mende
 
Mbunge wa Musoma Mjini mh , Nyerere anatarajiwa kufanya mikutano kwa siku mbili mfululizo jimbo la Isimani Mkoani Iringa. Mikutano hiyo itafanyika tar.11 na 12 Januari 2015 .

Pamoja na mambo mengine mikutano hiyo inabeba ujumbe wa kuwashukuru wananchi kwa kuichagua CHADEMA na kutoa elimu ya demokrasia kwa Umma dhidi ya ushiriki wa wananchi katika kura ya HAPANA kwa katiba Mpya na kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la wapiga kura.

Aidha Mwaliko huu umetokana na Makamu mkt wa BAVICHA Taifa Patrick Ole Sosopi ambaye atakuwa mwenyeji wa mh, Nyerere .

Ole Sosopi amekuwa akipata vitisho na ahadi za kutaja kuwa anahitaji kiasi gani cha fedha kutoka kwa Waziri wa Nchi Sera na Uratibu wa Bunge mh, William Vangimembe Lukuvi ili aweze kumwachia Jimbo la Isimani apite bila kupingwa.

Sosopi amekanusha vikali kutokuogopa vitisho hivyo na akaenda mbali zaidi kueleza kuwa kama huko nyuma Jimbo liliwahi kuuuzwa yeye hana bei na Wanaisimani wawe tayari kumchagua kwenye Uchaguzi mkuu ujao wa mwezi Octoba kwani yeye ni Kijana Mahiri Mweledi na Mzalendo kwa Taifa .

Lukuvi amenukuliwa maeneo mengi akisema kuwa Mbunge wa kumwondoa yenye Isimani bado hajazaliwa. Huku akiongea kwa hofu kubwa katika mkutano wake katika Kata ya Malengamakali (Mkulula) ambako amezaliwa Makamu mkt wa BAVICHA Taifa alimbeza kuwa hawezi kuwa Mbunge wa Isimani kwa kuwa hajawahi kuwa hata mkt wa Kitongoji.

"Mimi Nina vyeo vingi huko Serikalini , nlishawahi kuwa mkuu wa Wilaya na Mkoa sasa huyu kijana ( Sosopi) hata hajawahi kuwa mkt wa Kitongoji atauweza Ubunge ? " aliskika akihoji wananchi huku akizomewa kwa mayowe.
Uchaguzi wa s/mitaa ilikuwaje hapo Isimani.
 
Hongereni sana. Tunaomba mh. Nyerere aje na mikoa mingine ya kusini pia!
 
Chipukizi na darasa la nne lkn akiwa vijijini anawaongopea ana Masters aliyosoma Chechnia kwa siku tatu !!! Jamaa kiazi sana na ni usangoma tu ndiyo anaoutegemea na kuwaingiza mjini wenzake..... !!!
​Lukuvi darasa la nne, unafiki ndo unamuweka kwenye uwaziri hadi leo, na kubinua kwakwe midomo kama mwanamke
 
Chipukizi na darasa la nne lkn akiwa vijijini anawaongopea ana Masters aliyosoma Chechnia kwa siku tatu !!! Jamaa kiazi sana na ni usangoma tu ndiyo anaoutegemea na kuwaingiza mjini wenzake..... !!!
​ah haha haha hahaaa......kaka chchnia alienda kusoma political science course ya wiki moja alivorudi akasema alienda somea masters
 
Kamanda Vincent leo ameshukuru wana Musoma mjini waliojitokeza kupiga kura katika uchaguzi wa serikali ya mitaa katika viwanja vya shule ya msingi Mkendo..
 
Attachments

  • 1420743014898.jpg
    1420743014898.jpg
    68.7 KB · Views: 133
  • 1420743048131.jpg
    1420743048131.jpg
    77.4 KB · Views: 118
  • 1420743097224.jpg
    1420743097224.jpg
    76.2 KB · Views: 110

Similar Discussions

Back
Top Bottom