Vincent Nyerere azidi kutokomeza Ccm Musoma mjini...

Vincent Nyerere azidi kutokomeza Ccm Musoma mjini...

Marwa Chacha

Senior Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
102
Reaction score
51
Kampeni zimendelea leo jimbo la Musoma mjini KATA ya Rwamlimi mgombea ubunge kamanda Vincent Nyerere leo ameomba kura kwa wana Musoma pamoja na kumnadi mgombea udiwani,viongozi mbali mbali wakiongozwa na kamanda John Heche mgombea ubunge jimbo la Tarime viijini walikuwepo kumnadi Nyerere leo.Musoma mjini kwa pamoja wamesema Nyerere Tena 2015✌✌✌✌✌.

Nyrerere Tena 2015
Lowassa Mabadiliko 2015
Mabadiliko Lowassa 2015
Tazama picha mbali mbali ya mkutano wa Leo👇
 
Attachments

  • 1442428477906.jpg
    1442428477906.jpg
    61.9 KB · Views: 642
Nyerere akiongea na wakazi wa Rwamlimi hii leo
 
Attachments

  • 1442428538178.jpg
    1442428538178.jpg
    68.9 KB · Views: 510
Wakazi wa rwamlimi wakiendelea kumsikiza Nyerere
 
Attachments

  • 1442428610028.jpg
    1442428610028.jpg
    61.6 KB · Views: 473
Wana Rwamlimi wamesema Nyerere Tena!
 
Attachments

  • 1442428667689.jpg
    1442428667689.jpg
    69.2 KB · Views: 463
John Heche akiwa jukuwani kutoa salamu kwa wakazi wa kata ya Rwamlimi hii leo
 
Attachments

  • 1442428724928.jpg
    1442428724928.jpg
    73.4 KB · Views: 432
John Heche akiendelea kusema na wakazi wa Rwamilimi hii Leo!
 
Attachments

  • 1442428811198.jpg
    1442428811198.jpg
    65.6 KB · Views: 387
wakazi wa Rwamilimi wakiendelea kuwasikiza viongozi wa chadema hii leo
 
Attachments

  • 1442428873578.jpg
    1442428873578.jpg
    74.5 KB · Views: 355
Rwamlimi wamesema Nyerere Tena 2015
 
Attachments

  • 1442429001419.jpg
    1442429001419.jpg
    67.8 KB · Views: 290
Vinongozi mbali mbali waliofika leo KATA ya Rwamlimi,
 
Attachments

  • 1442429074055.jpg
    1442429074055.jpg
    70.1 KB · Views: 294
Kampeni zimendelea leo jimbo la Musoma mjini KATA ya Rwamlimi mgombea ubunge kamanda Vincent Nyerere leo ameomba kura kwa wana Musoma pamoja na kumnadi mgombea udiwani,viongozi mbali mbali wakiongozwa na kamanda John Heche mgombea ubunge jimbo la Tarime viijini walikuwepo kumnadi Nyerere leo.Musoma mjini kwa pamoja wamesema Nyerere Tena 2015✌✌✌✌✌.

Nyrerere Tena 2015
Lowassa Mabadiliko 2015
Mabadiliko Lowassa 2015
Tazama picha mbali mbali ya mkutano wa Leo👇
asante sana kiongozi .
 
Hongera musoma mjini kweli anafaa sana vicent alikuja MBY tundua akamwaga upako kweli tulimwelea sana na TDM silinde tena timpe madiwani .pipoooooooooooz.
 
Back
Top Bottom