Boniphace Bembele Ng'wita JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 3,580 Reaction score 2,001 Jan 11, 2017 #1 Wakuu nauza TV ndogo ya tumbo, 18' seti moja ya sofa(yaan lenye watu 2 na 3, gasi ya mihan kubwa na jiko lake la kioo.. BEI TV........ 80,000|= Sofa.....200,000/= Gasi na jiko 250,000/= Kwa jumla 480000/= Karibun wote... Njoo pm ntakupa no.....
Wakuu nauza TV ndogo ya tumbo, 18' seti moja ya sofa(yaan lenye watu 2 na 3, gasi ya mihan kubwa na jiko lake la kioo.. BEI TV........ 80,000|= Sofa.....200,000/= Gasi na jiko 250,000/= Kwa jumla 480000/= Karibun wote... Njoo pm ntakupa no.....
issa mweusi JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 1,477 Reaction score 1,139 Jan 11, 2017 #2 Weka picha
Aidan aidan Sakharov Member Joined Nov 24, 2016 Posts 7 Reaction score 7 Jan 11, 2017 #3 Weka pic aisee
Boniphace Bembele Ng'wita JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 3,580 Reaction score 2,001 Jan 11, 2017 Thread starter #4 issa mweusi said: Weka picha Click to expand... Naweka sema kuapload ndo shida...
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,553 Reaction score 40,754 Jan 11, 2017 #5 Kwanini matangazo ya furniture yamekuwa mengi ndani ya miezi hii miwili?
Boniphace Bembele Ng'wita JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 3,580 Reaction score 2,001 Jan 11, 2017 Thread starter #6 werrason said: Kwanini matangazo ya furniture yamekuwa mengi ndani ya miezi hii miwili? Click to expand... Mkuu uchumi mbaya, watt ada za shule, kodi za nyumba na mahitaji mengine, ukizingatia hauna kipato kingine mkuu
werrason said: Kwanini matangazo ya furniture yamekuwa mengi ndani ya miezi hii miwili? Click to expand... Mkuu uchumi mbaya, watt ada za shule, kodi za nyumba na mahitaji mengine, ukizingatia hauna kipato kingine mkuu
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,553 Reaction score 40,754 Jan 11, 2017 #7 Ls man said: Mkuu uchumi mbaya, watt ada za shule, kodi za nyumba na mahitaji mengine, ukizingatia hauna kipato kingine mkuu Click to expand... Nimekusoma mkuu, nikadhani unahama.....samahani kama nimekukwaza kwa namna yoyote.....aagh nimeshindwa hata kujiongeza!!![emoji30]
Ls man said: Mkuu uchumi mbaya, watt ada za shule, kodi za nyumba na mahitaji mengine, ukizingatia hauna kipato kingine mkuu Click to expand... Nimekusoma mkuu, nikadhani unahama.....samahani kama nimekukwaza kwa namna yoyote.....aagh nimeshindwa hata kujiongeza!!![emoji30]