Vinauzwa kama vilivyo

ha ha haaaaaahhhhhhhhhhh, aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhh! uuuuuuuhhhhhhhh uhh!
 
Ukinunua vyote Jumla hapo bei yake utauziwa laki moja ila ukinunua reja reja kimoja kati ya hivyo vyote bei yake ni elfu 45!
Hahah haya maisha bhana!
 
Dalali hajahesabu "kwa mara ya kwanza........" utasemaje umepiga top mshana jr toa ufafanuzi tafadhali.
Hahahaha...,
Naona bora avirudishe humo msongeni na zogo likipungua kwa hawa maBidder tutashauriana namna tena ya kufanya hiyo biashara, kwani hata huyo Auctioneer wetu naona hana uzoefu au ndio ile atazoeya mbere kwa mbere? [emoji36] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

NB,
Asirare navyo mbere kwa mbere!
 
Ukinunua vyote Jumla hapo bei yake utauziwa laki moja ila ukinunua reja reja kimoja kati ya hivyo vyote bei yake ni elfu 45!
Hahah haya maisha bhana!
Hiyo ID yako sijajaribu kuifananisha na maelezo yako,
Samahani mkuu jambazi.
 
Ushauri huu uzingatiwe mara moja.
 
Kama umekulia uswahilini au bushi tena miaka ya nyuma kidogo lazima utaungana na mimi kuwa lazima utakuwa umetumia vyote!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…