trisha cute
Senior Member
- Dec 1, 2020
- 194
- 608
Mzee Baba Jesca anajua wimbo ka rap Profesa Jay wa CHADEMA?Yani zamani kipindi cha nyuma enzi za kina mb dog, dazz baba, qchillah ilikua ikitoka nyimbo kama ya mapenzi bas inakua ngoma kweli na inaverse na vina vya kueleweka kiasi kwamba ukisikiliza vinapenya mpaka kwenye moyo but sadly music wa sasa[emoji31][emoji36][emoji30] yani ngoma zinaimbwa ili mradi tu ziende
"Harmonize anakwambia
Shido shido shido waaa
Shidoo shidoo shidowan nobadee
Agodai for yua mata yu de skata my braini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
MWENYE DICTIONARY AJE NAYO
" ps wewe ni goma lipi la sasahv linalokukera!!!?
View attachment 1712039
[emoji3064][emoji3064][emoji3064]mambo ya nyakatiHarmonize anakuambia " Anaitoa nilipozea anaiweka kwenye mtaro"
Yani zamani kipindi cha nyuma enzi za kina mb dog, dazz baba, qchillah ilikua ikitoka nyimbo kama ya mapenzi bas inakua ngoma kweli na inaverse na vina vya kueleweka kiasi kwamba ukisikiliza vinapenya mpaka kwenye moyo but sadly music wa sasa[emoji31][emoji36][emoji30] yani ngoma zinaimbwa ili mradi tu ziende
"Harmonize anakwambia
Shido shido shido waaa
Shidoo shidoo shidowan nobadee
Agodai for yua mata yu de skata my braini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
MWENYE DICTIONARY AJE NAYO
" ps wewe ni goma lipi la sasahv linalokukera!!!?
View attachment 1712039
Mkuu, huyu Mb. Dogg ndo alinifanya nikaipenda Bongo Flavor.... Namkubali mpaka kesho huyu jamaaUmenikumbusha Mb Dogy, yaani nilikuwa form 2 enzi hiyo.. nikisikia wimbo wa Latifah, najikuta natamani niwe mkubwa niyaanze mapenzi..
Yaani nyimbo za Mb Doggy zilikuwa zinanipeleka mapenzini kimawazo.. sahiv msanii gani anaweza hiyo?
Hehe tena na Sugu ametajwa humoMzee Baba Jesca anajua wimbo ka rap Profesa Jay wa CHADEMA?
It's about time mmakonde apelekwe British Council kujifunza English.Yu de basti my mendulla
My baby tomato sweet like mangooo oooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani zamani kipindi cha nyuma enzi za kina mb dog, dazz baba, qchillah ilikua ikitoka nyimbo kama ya mapenzi bas inakua ngoma kweli na inaverse na vina vya kueleweka kiasi kwamba ukisikiliza vinapenya mpaka kwenye moyo but sadly music wa sasa[emoji31][emoji36][emoji30] yani ngoma zinaimbwa ili mradi tu ziende
"Harmonize anakwambia
Shido shido shido waaa
Shidoo shidoo shidowan nobadee
Agodai for yua mata yu de skata my braini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
MWENYE DICTIONARY AJE NAYO
" ps wewe ni goma lipi la sasahv linalokukera!!!?
View attachment 1712039
Woyooooooo😂😂😂Mamaa Aminaaaaah!!!