Mamlaka za afya nchini Uingeleza zimesema kuwa vimelea vinavyosababisha ugonjwa wa Polio vimeonekana katika maji taka nchini humo na kuashiria kuwa huenda watu wachache wanaweza kuwa wameambukizwa ugonjwa huo Kaskazini na Kusini mwa Mji wa Londoni. Mpaka sasa hakuna mtu aliyedhibitika kuwa na ugonjwa huo na imeelezwa kuwa hatari ya ugongwa huo ni hafifu
FUATILIA HAPA
UK health officials find rare polio virus in London sewage, and warn it may have spread to a few people in the city