Vimbwanga vya miti duniani!

Hyo no. 2 sipati picha ukelele wake maana imetight si mchezo.
 
Daah,KAMA ni uumbaji asilia basi Muumba anahitaji sifa za pekee ila KAMA ni sanaa basi maombi yanahitajika sana kukemea maovu haya.
 
Mmmmmh...kweli vimbwanga!
 
Nawaaminia wanaume hawadharau ........... na hata ikimithilishwa basi atareact, mtizame jamaa na kapelo!
 
Hao lazima watakuwa watu wa enzi ya Adili na Nduguze, pengine laana iliwakuta wakati wa kitendo na kubadilika kuwa miti.
 
dah. aisee nimezipandisha baada ya wewe kusema hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…