UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,018
kama walifanya vibaya tuwaseme vibaya tu kama ccm na diwani wao wa huko mwanzaNimechoka kusikia watu wakiwaponda watu waliofariki. Wameshatangulia, tuwatakie tu mapumziko mema na sisi tujiangalie mwisho wetu utakuwaje.
Nilichoshwa na wanyamwezi.roho mbaya.uchoyo na ubinafsi.
haa haaa haaa yaani nipo veri chokestWe kweli umechoka!
- Lukuvi..hili jina nimelichoka..duh natamani apewe ubalozi kama yule mama batilda buruhani..nilimchoka na wish yangu ikatimia
- muungano...nimeuchoka natamani uvunjike
- kanga moja..hili kundi natamani watiwe segerea wote..nimewachoka
- Malawi..nimewachoka na mgogoro wa kung'ang'ania ziwa..bora tupigane vita lijulukane moja.
- Jukwaa la siasa JF..nimelichoka...limevamiwa na washabiki wa watu binafsi wanaolipwa kushinda mtandaoni kuzusha na kutukana..limeshusha hadhi ya JF ..bora lifungwe mwaka 2014 na lianzishwe JUKWAA LA MASHAURI YA KIUCHUMI ili tuishauri serikali mambo muhimu ya kiuchumi kuliko ushabiki wa kitoto
ni hayo kwa sasa
nimewachoka wote mnaokoment unazi kwenye thread za watu ...nikiwemo mimi nimejichoka pia ......
Ahsante ila usinichoke wakati mimi bnafsi sijajichokaaaNimelichoka jina lako
kama walifanya vibaya tuwaseme vibaya tu kama ccm na diwani wao wa huko mwanza
Vitu gani vilikuchosha mno kuvisikia na
unatamani usivisikie tena mwaka 2014
upate tu break ya kuvisikia?
7.Bongo movie...hivi lini tutasikia movie ya ukweli?
yenye actors wa nje na ndani ikibidi?