Vilio vimezidi

Kingsharon92

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
8,569
Reaction score
12,308
Za jioni wanajukwaa narudi tena na ujumbe mwingine siku hizi kumeibuka
Wimbi kubwa la watu kulalamikia wengine na chanzo ni hao walalamikiwa mfano mtu anafundisha
Mambo ya ujasiliamali watu wanaambiwa faida tu maneno matamu ila hasara na changamoto
Hamuwaambii nao wanaingia kichwa kichwa anakuta mambo tofauti na alivyofundishwa anaanza kulia tu
Na kulaani watu hii utaikuta kwenye
Ndoa vyuoni kwenye biashara
Watu wakiambiwa changamoto na faida Za kile mnachotaka afanye hata akikutana na misukosuko hawezi kukata tamaa wala kushangaa make
Aliandaliwa kuyakabili mazingira yote leo hii wasomi wetu wanaandaliwa kutegemea kuajiriwa tu ajira hakuna
Wanalia tu kilio kimoja ila kila mtu kwa style yake
 
Ukiambiwa chagamoto hautatamani kuingia huko we ingia kama changamoto utapambana nazo ili utengeneze profit
 
Wewe ndio fursa ya hao watu,hao wanaofundisha ujasiliamali hawana hata genge mtaani,biashara yake kuu ni wewe tu,hayo anayokufundisha wewe na yeye ameyasoma kwenye vitabu tu.
 
Moja ya kitu ambacho sikiamin ni kuwaamin hawa watu,wakat nakua na kupata tabu sana nilijifunza kitu kimoja,kujua kununua zaid halaf sitapata shida kuuza,bas nimekua master haswa,sitak vitab vya ujasiriamal,sitak vitab vya kilimo wala sitak kongamano lolote la ujasiriamal maana naamin nmekua master zaid ya hao wanaotangazia watu kwa kiingilio... Kwel ndugu King Kong nakubaliana na ww mtaji wao ni watu.
 
Wewe ndio fursa ya hao watu,hao wanaofundisha ujasiliamali hawana hata genge mtaani,biashara yake kuu ni wewe tu,hayo anayokufundisha wewe na yeye ameyasoma kwenye vitabu tu.
huwa nawaambia vijana wananiambia mzee umepitwa na wakati mimi huwa nawaambia niliyoyaona nyie hamtakuja kuyaona hata siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…