Wana Jf naomba kuuliza hivi kuna uhusiano gani wa kunywa pombe tena zile kali kama konyagi,boss,valuu na nyingine jamii ya spirit,nimeona vijana wengi wakidai kuwa baada ya kunywa ukiwa kwenye game paformance yako inakuwa juu zaidi,je ni kweli

ha ha ha ha.
1.Kumbuka game lile lisilo na watazamaji,hudhibitiwa na mishipa yako ya fahamu na mwenendo wa damu mwilini
2.POMBE, inaingilia yote hayo mawili kwa hiyo ni lazima perfomance nayo itabadilika.
3.Sikushauri unywe pombe kwajili ya game,tumia vitu vingine vyenye kuhamasisha game.