Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,249
- 7,129
Pamoja na maneno yote ya kutuvunja moyo,lakini Klabu ya Simba imo miongoni mwa vilabu vinne tu vilivyobaki katika mashindano makubwa kabisa yanayotambuliwa na shirikisho la soka la Afrika.CAF.
Vilabu hivyo vinne vilivyobaki ni kama ifuatavyo.
1)Pyramids- Misri
2)Mamelody Sundowns- south Africa
3)Simba-Tanzanina
4)RS Berkane -Morocco
Naandika hivi kwa sababu ki ukweli ni kwamba Simba bado inajenga timu.
Simba inahitaji kuongeza wachezaji kuziba mapengo ili iwe na kikosi imara zaidi.
Simba Ina wachezaji wengi wapya ambao wengi hawajakaa zaidi ya mwaka,
Ina Mwalimu mpya na sehemu kubwa ya wasaidizi wa Mwalimu ni wapya.
Simba hii ilambiwa haiwezi kuvuka robo,
Haiwezi kuvuka nusu,
Haiwezi kuingia fainali,na Sasa wanasema itafungwa nje ndani.
Lakini amini nawaambieni Simba hii haifungwi nje ndani.
Bado Sina maono kuhusu mchezo wa Morocco,lakini Nina maono na uhakika mchezo wa Tanzania RS Berkane atafungwa na Simba,na Simba atachukua kombe.
Lakini Kwa bahati mbaya Simba hii imekua ikiwa prove wrong.
Sasa hivi hii Simba iliyo semwa sana,Leo hii ndio timu inayodhaniwa kua Ina weza kuchukua makombe matatu kwa msimu mmoja.
Yaani kombe la CRDB,kombe ya NBC na kombe la shirikisho la CAF.
Ndugu zangu hapa ilipofikia Simba,sio Kwa bahati,wala kubebwa,Bali ni ubora wa wachezaji naafunzo.
Bila wachezaji Bora Simba isingefika hapo.
Kua TU, nyuma ya kiongozi wa ligi kwa pointi moja, sio bahati.
Je Simba inaweza kubahatisha katika michuano ya Afrika?
Au inaweza kubebwa katika mechi za kimataifa?
Kwa kifupi ni hapana,Bali ni Kwa uwezo wa wachezaji wake.
Hebu fikiria, timu zote kubwa za Afrika timu Tajiri, timu kutoka Mataifa Tajiri mataifa yenye ligi Bora kabisa,timu ambazo Simba amecheza nazo na kuzitoa,je Simba imewezaje kubebwa dhidi ya Ma Giant hao?
Hebu fikiria Simba imecheza na kuzitoa ama kuzofunga timu kutoka nchi zote za kiarabu za Afrika kutoka Libya,Tunisia, Algeria na Misri,kasoro Morocco TU,ambayo ndio hiyo itacheza nae fainali.
Sas hapo Simba imebebwaje kuweza kutinga fainali?
Ndugu zangu katika vilabu vyote vya Afrika kwa mwaka huu 2025 zimebaki timu nne TU katika mashindano,Simba ikiwa ni moja wapo,mnataka ifanyeje Tena?
Mafanikio katika soka ni kwenda mbele,Simba Iko mbele.
Simba bado tunajenga timu,uongozi endeleeni kuchomeka wachezaji wachache wazuri zaidi ili kuimarisha kikosi.
Zimebaki timu nne TU Afrika,Simba imo.
View: https://vm.tiktok.com/ZMSJC4nPv/