Vikwazo vya uchumi kwa Russia

Vikwazo vya uchumi kwa Russia

04020000-0aff-0242-1b8f-08daaa9d4d8f_cx0_cy9_cw0_w1023_n_r1_st_s.jpg
 
Russia itakuwa hoi bin taabani baada ya miaka 3 wakiwa kwenye hii vita . ACHANA na vita vya kuwekewa vikwazo vya uchumi. Kwa watu wanafikiria na ubongo watanielewa na watu wanafikiria na ass hole watatoa povu tuu.
Kwa nini unadhania wewe ndiye mwenye maoni ya mbali kuliko wengine wenye mawazo tofauti? Angalia Cuba walivyowekewa vikwazo kwa miaka nenda rudi na mpaka sasa bado wanadunda tu. Urusi iko juu sana kulinganisha na Cuba. Vipi wenyewe ndio wawe hoi bin taabani baada ya miaka mitatu tu?
 
Cuba ni kweli wanadunda ila wapo hoi.
 
Kwa nini unadhania wewe ndiye mwenye maoni ya mbali kuliko wengine wenye mawazo tofauti? Angalia Cuba walivyowekewa vikwazo kwa miaka nenda rudi na mpaka sasa bado wanadunda tu. Urusi iko juu sana kulinganisha na Cuba. Vipi wenyewe ndio wawe hoi bin taabani baada ya miaka mitatu tu?
Cuba wako hoi mkuu . Wanatumia gari za miaka ya 50 iliyopita mkuu .
 
Uchumi hujui hata ripoti za Mauzo au mapato hujui. Inflation rates hujui. Ila una anzisha mada usiyo na taaluma nayo!!
Mauzo Labda PUTIN amuuzie nyanya yake hayo MACHUMA yake ya miaka 60 iliyopita .
 
Tatizo bidhaa zake zinahitajika duniani sanasana nishati. Kungekuwa na mbadala shughuli yake ingekuwa imekwisha muda.
Wazungu sio wapuuzi mkuu wanajua kupambana na hali zao , sio vichwa lala kama hawa waafrika wanasubiria kutembeza bakuli Ulaya na USA . Wanajua kutafuta plan B . Russia atakuja kujutia boss
 
Vyovyote vile ila wacha wawatie adabu Ukraine na NATO mengine ya uchumi mbele kwa mbele
 
Russia itakuwa hoi bin taabani baada ya miaka 3 wakiwa kwenye hii vita . ACHANA na vita vya kuwekewa vikwazo vya uchumi. Kwa watu wanafikiria na ubongo watanielewa.
Dua la kuku hilo. Gesi, oil na mbolea ni bidhaa adimu sana. Wajinga tu ndio wanaoweza kususia hizo bidhaa.
 
Wazungu sio wapuuzi mkuu wanajua kupambana na hali zao , sio vichwa lala kama hawa waafrika wanasubiria kutembeza bakuli Ulaya na USA . Wanajua kutafuta plan B . Russia atakuja kujutia boss
Ngoja tuone mkuu. Muda utafika tuombe uhai.
 
Wazungu sio wapuuzi mkuu wanajua kupambana na hali zao , sio vichwa lala kama hawa waafrika wanasubiria kutembeza bakuli Ulaya na USA . Wanajua kutafuta plan B . Russia atakuja kujutia boss
Kwani russia sio wazungu, pia na wao wanayo plan B
 
Wazungu sio wapuuzi mkuu wanajua kupambana na hali zao , sio vichwa lala kama hawa waafrika wanasubiria kutembeza bakuli Ulaya na USA . Wanajua kutafuta plan B . Russia atakuja kujutia boss
Ipi hiyo plan B?
 
Russia itakuwa hoi bin taabani baada ya miaka 3 wakiwa kwenye hii vita . ACHANA na vita vya kuwekewa vikwazo vya uchumi. Kwa watu wanafikiria na ubongo watanielewa.
Uko sahihi. Urusi iki survive mwaka huu, mwaka ujao haushi itakuwa zaidi ya Somalia.
 
Russia itakuwa hoi bin taabani baada ya miaka 3 wakiwa kwenye hii vita . ACHANA na vita vya kuwekewa vikwazo vya uchumi. Kwa watu wanafikiria na ubongo watanielewa.
Mbona anaye umia kutokana na vikwazo ni EU na USA?
 
Kwa nini unadhania wewe ndiye mwenye maoni ya mbali kuliko wengine wenye mawazo tofauti? Angalia Cuba walivyowekewa vikwazo kwa miaka nenda rudi na mpaka sasa bado wanadunda tu. Urusi iko juu sana kulinganisha na Cuba. Vipi wenyewe ndio wawe hoi bin taabani baada ya miaka mitatu tu?
Unayajua maisha ya Cuba wewe?

Au unayasoma google?
 
Back
Top Bottom