Vikwazo vitano safari za nje

Vikwazo vitano safari za nje

Wewe mleta mada hapa ni muhuni tu. Na huenda hili la safari limekugusa au umetumwa na mtu ambaye ameguswa na safari hizi kudhibitiwa. Hapa Magufuli kagonga msumali mahala penyewe. Kuna watu wamepewa ofisi lakini hawazifanyii kazi zaidi ya wao wenyewe kujaribu kufuatilia ni wapi na lini itatokea safari ya kwenda nje ya nchi. Hili hali hitaji utafiti. Toa sababu za kwenda nje ya nchi na eleza ni faida gani nchi itapata kwa safari yako. Heshima ya mabalozi ilipotea kabisa baada ya Kikwete kuwawakilisha wao kwenye kila jambo hata lile la kwenda kutazama jinsi ya kutengeneza soseji za nguruwe. Tena hii thread inatakiwa kufutwa mara moja kwani ina katisha tamaa na kutaka kumvuruga Rais kwa maamuzi sahihi.

Mleta mada katoa toka gazeti mwananchi. Ila kwa kweli hili agizo limesababisha na mengine yote kuhusu fadha yawe shida huku serikalini.
 
Wewe sema haujaona vikwazo ila sio kama hakuna vikwazo.

Wewe kama una kazi mshukuru mungu na hudumia watanzania wenzio. Safari za nje hizo zitakuwepo pale itakapo onekana kuna ulazima. vinginevyo fanya kazi kwa maendeleo ya Taifa. Kikwete kasafiri sana na mwisho wa siku kaacha nchi kwenye madeni ya kutisha. Magufuli tumwombee uzima na kumsaidia ili nchi hii ibadirike.
 
Hiyo ya hakuna watalaam ubalozini naona itakuwa Gia ya wasafiri kuendelea kusafiri huku wakiacha majukumu yao nchini.
 
Mleta mada katoa toka gazeti mwananchi. Ila kwa kweli hili agizo limesababisha na mengine yote kuhusu fadha yawe shida huku serikalini.

Nchi hii wanafiki ni wengi kweli. Mtu ukiona kwamba huwezi kufanya kazi uliyopewa pasipo kusafiri nje ya nchi kiholela wapishe wengine ili wafanye kazi. Kuna foleni ya wasomi wengi tena wenye elimu inayo endana na wakati tulio nao. Hawa wahuni wanao dhani nchi hii pasipo wao haitawaliki wasogee pembeni. Ina chosha sana una kwenda kwenye ofisi fulani saa tatu au nne asubuhi unaambiwa boss kaenda kupata supu ya utumbo. Wakati huu mtu una mzigo ( mfano vifaa kwa maendeleo kwa jamii ) bandarini na storage charge imeanza kugonga hodi. Aisee nyie fanyeni kazi ndugu zangu. Sasa hivi tuta shtakiana sana.
 
ambao hawakumwelewa ndio hao wamechemka, ukipeleka maelezo uchwala unaweza hata kuishia police kwa kuidanganya hospitali.
 
Hiyo ya hakuna watalaam ubalozini naona itakuwa Gia ya wasafiri kuendelea kusafiri huku wakiacha majukumu yao nchini.

Wataalamu wa kufanya nini mkuu? Mialiko yote tunataka ipitie kwenye Balozi ili kufanywe michujo ya umuhimu wa kuona kama kuna watu wanahitajika kwenda nje ya nchi au lah. Tumeona kuna maboss wana safiria kazi za wapika chai. Hili la safari limeeleweka vizuri maana kila kipengele kina jieleza. Una kwenda kwenye semina ya ufuaji wa vyuma wakati kiwanda chenyewe kimesha kufa. Acheni uhuni. Hii kazi ya kukagua na kuruhusu safari za nje ningepewa mimi ni wanyoosheni vizuri. Nchi imejaa viongozi wahuni tu.
 
Alisema itakapobidi kusafiri kibali kitatolewa na Ikulu.Si kwamba hazipo kabisa alisema zenye ulazima ikuli itatoa kibali.Mf.juzi amefuta safari za maafisa 70 wameenda 4 kati ya 70 zimeokolewa 777m.Amejitahidi.

Safari zitakuwepo ila zitadhibitiwa na ziwe za lazima si kwenda kupokea zawadi tu safari!

Km nilimuelewa vema huo ndo ukweli.
 
Hiv kila kitu anachosema Rais lazima kikubalike kwann ficiem wasimpinge huyu wazir wa Ujenzi kwakufuta safar za nnje kwakua wao ndio walikua wanazitetea kipindi cha Jk hau hawajitambui
 
Hiv kila kitu anachosema Rais lazima kikubalike kwann ficiem wasimpinge huyu wazir wa Ujenzi kwakufuta safar za nnje kwakua wao ndio walikua wanazitetea kipindi cha Jk hau hawajitambui

Mkuu watazipinga muda gani wakati muda huu wana kimbizana kwa waganga wa kienyeji ili angalau wapate kuteuliwa kwenye kushika nyadhifa. Fuailia kwa ukaribu.
 
Hizi ni porojo tu, kuna baadhi walikuwa wanaenda tu kwa ajili ya posho na safari hazikuwa na tija yoyote. Hakuna ubishi katika hilo na amesema vema ikionekana umuhimu kibali kitatolewa, ila ni kudhibiti tu. Hizi safari za nje zilisababisha hadi Emirates kuingiza ndege mbili Tanzania kila siku. Alipotoa tu agizo mkuu wa kaya Emirate wakaondoa ndege yao moja na kutubadilishia safari. Kwa kweli kwa hili Mzee wa Kaya anahitaji pongezi. Wengine tunakutana nao international conferences kibao, hakuna wanachopresent. Tumpe support kwa hili sasa tuweke nguvu nchini tuendeleze Taifa maana kwa safari watu walizosafiri na walivyokuwa wanabandika na kubandua wasingepata muda wa kutumia knowledge waliyopata. kwa kipindi hiki kama kweli zina tija tutaona mabadiliko ya knowledge mliyopata kwa kushinda nje.
 
Hiv kila kitu anachosema Rais lazima kikubalike kwann ficiem wasimpinge huyu wazir wa Ujenzi kwakufuta safar za nnje kwakua wao ndio walikua wanazitetea kipindi cha Jk hau hawajitambui
 
Back
Top Bottom