Vikwazo Iran:British Airways na Air France zasitisha Safari.. Kiza Kinene

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
13,387
9,756
Shirika la Ndege la Uingereza limetangaza Alkhamisi hii kuwa itasitisha safari zake zote za ndege za kuelekea na kutoka nchini Irani kuanzia Mwezi Septemba baada ya Irani kuwekewa vikwazo hivyo kupelekea ruti za huko kutolipa kibiashara.

Kutoka vyanzo vya habari, Uamuzi huo ulifikiwa siku ya alkhamisi kuwa watasimamisha safari za kutokea London kwenda Teheran Biashara hailipi tena.

Tunawaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza kwa wateja wetu waliopanga kusafiri tunajaribu kuongea na wabia wetu wa usafiri wa anga muweze kujitoa kwenye maombi ya kusafiri nasi, vilevile tutawarejeshea pesa zenu za nauri au kuwaunganisha kwenye mashirika mengine muweze kusafiri nao.

Lisaa limoja baadae, Shirika la Ndege la Ufaransa likatangaza kuwa nalo litafuta Safari zake kuelekea Teheran kuanzia Mwezi September tarehe 18.

Habari hizi zinakuja huku Serikali ya Jamhuri ya Kiislam ya Iran ikiwa inasikilizia machungu ya vikwazo na uchumi wake unazidi kudidimia kwa kasi sana baada ya vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani. Mwaka 2015 Mkataba wa Irani dhidi ya Mataifa makubwa yenye nguvu uliondosha vikwazo vya kimataifa kwa Iran, huku Iran ikikubali kuachana na mpango wake wa kutengeneza mtambo wa Nguvu za Kinyuklia ambao ulionekana kuwa anaweza kutengeneza bomu la atomic.

Raisi Donald Trump alijiondosha kwenye Mkataba huo na kurejesha vikwazo vya kiuchumi upya.
Vikwazo alivyowekewa Iran ni Kutotumia Dollar ya Kimarekani kwenye Biashara zake, Madini ya Chuma na Vifaa vya Magari aina yote, Kufanya Biashara na Iran kwa kubadilishana na Dhahabu au Madini aina yeyote yale kiufupi no more Business, pamoja na vile vikwzo vya Mwanzo alivyokuwa amewekewa kabla ya mwaka 2015.

Vikwazo vingine vitatangazwa na Marekani ifikapo Mwezi September 2018 ambapo itahusu zaidi Mafuta ya Irani na Mafuta yanayochimbwa huko Iran abaki nayo kama alivyoyakuta ardhini no kuuza Oil za kurainisha Mitambo pamoja na Merikebu za Iran zisisafiri Baharini na Kuzuia mambo yanayohusu Uvuvi.

Washirika waliotia sahihi na Marekani Hawajakubali mpango wa Marekani kuiwekea Vikwazo Irani na Wanajaribu kuisaidia Irani iendelee kufanya Biashara Duniani ili kuokoa Irani isije kutengeneza mambomu ya Nuclear.

Serikari ya Teheran iliomba Nchi za Ulaya na Washirika wengine waliotia Sahihi hapo awali Waisaidie Iran kifedha ili iweze kustahimili kibano cha Marekani, Na Nchi za Ulaya zimesema zitaisaidia Irani kiasi cha Euro Million 18 (ambazo ni sawa na Dollar million 20) kama kiwango cha kwanza kuzuia deal lisiparagawanyike.
773243.jpg

Air-France-Flights-Di_Horo.jpg

British Airways, Air France scrap all Iran-bound flights
Airlines say direct flights to Iran 'not commercially viable.'

British Airways announced Thursday that it will scrap all of its Iran-bound flights starting in September after sanctions make the routes "not commercially viable".

According to the Associated Press, the carrier announced on Thursday that "we are suspending our London to Tehran service as the operation is currently not commercially viable.

"We are sorry for any disruption this may cause to our customers' travel plans and we are in discussions with our partner airlines to offer customers rebooking options.

"Alternatively, they will be offered a full refund or the opportunity to bring their flights forward."

Hours later, Air France announced that it was also cancelling its flights to Tehran as of September 18th.

The news comes as the Islamic Republic's economy continues to suffer from a new slate of US sanctions. The 2015 agreement between Iran and world powers lifted international sanctions. In return, Iran agreed to restrictions on its nuclear activities, increasing the time it would need to produce an atomic bomb.

In May However, Trump pulled out of the 2015 deal and recently signed an executive order officially reinstating U.S. sanctions against Iran.

The sanctions target Iran's access to American dollars and steel and automobile industries, ban trade with Iran in gold and other precious metals, and include other sanctions which were lifted under the 2015 deal.


Additional sanctions will be imposed on November 4, targeting Iran's oil and shipping industries.

The European signatories to the deal did not agree with Trump’s decision to leave the deal and have been trying to save the accord, which they see as crucial to forestall an Iranian nuclear weapon.

Tehran has demanded that Europe come up with an economic package to offset the effects of the U.S. withdrawal. On Thursday, the EU announced that will give Iran 18 million euros ($20.6 million) annually part of the effort to save the deal.
 
hivi nini kofanyike kumhujumu MMAREKAN? maana hii imezidi sasa hapendi kuona baadhi ya nchi zikiinuka
huwezi kuwekea vikwazo,china,russia,iran,venezuela,na huenda pakistan ,uturuki na pengine india,population ya karibu watu bilion 4,halafu uchumi wako ukabaki salama,
ukichukulia hata europe wameshaanza kuwekeana makodi makubwa na marekani,
mwisho wa siku,atadondoka tu,
huenda putin anamtumia Trump kuiangusha marekani as a super power,
ndo maana hata walipokutana,waliongea faragha wao wawili tu,na mpaka sasa congress ya marekani inahoji Trump na putini waliongea nini
 
Mpaka sasa angela merker wa ujeruman ameshaanza kusisitiza europe waunde payment system nyingine tofauti na ya marekani kwani kwasasa siyo reliable.

Pia nchi za ulaya zinaongeza bajeti za ulinzi ili ziwe independent from USA,militarywise.
Leo europe wamefanya gesture kama defiant vikwazo vya marekani kwa iran,kwa kutoa euro milion 80,kama msaada wa maendeleo kwa iran.
Kumbuka hivi vikwazo vimeumiza uchumi wa ulaya,ukichukulia kwa mfano iran,alikuwa kaweka order ya kununua ya madege makubwa ya airbus 300 kwa mpigo,
makampuni ya ulaya kama Total yalikuwa yameshakamata visima vya gas na mafuta tayari kwa kuchimba etc,so europe wako na kinyongo sana dhidi ya hivi vikwazo
 
Sio issue,kumbuka hizo route zilianza baada ya yale makubaliano,kwahiyo hazijategemewa kivile,maana zina miezi tu tangu zianze kutua hapo Tehrain,kabla Trump hajakiuka makubaliano

Hivyo vikwazo nadhani hivo vipya vya sept 13 vitakuwa moto zaidi..wakiweka ‘kipengele cha mashine za kilimo na kuzuia miamala ya nafaka zote’ itakua ni njaa Iran ...na automatically wataachana na mpango wa nyuklia
*Hicho kipengele ndicho kilipelekea mazungumzo ya trump na Kim wa North korea


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mpaka sasa angela merker wa ujeruman ameshaanza kusisitiza europe waunde payment system nyingine tofauti na ya marekani kwani kwasasa siyo reliable.

Pia nchi za ulaya zinaongeza bajeti za ulinzi ili ziwe independent from USA,militarywise.
Leo europe wamefanya gesture kama defiant vikwazo vya marekani kwa iran,kwa kutoa euro milion 80,kama msaada wa maendeleo kwa iran.
Kumbuka hivi vikwazo vimeumiza uchumi wa ulaya,ukichukulia kwa mfano iran,alikuwa kaweka order ya kununua ya madege makubwa ya airbus 300 kwa mpigo,
makampuni ya ulaya kama Total yalikuwa yameshakamata visima vya gas na mafuta tayari kwa kuchimba etc,so europe wako na kinyongo sana dhidi ya hivi vikwazo
Yaani makampuni ya Ulaya yahatarishe Biashara kubwa na Marekani kwa ajili ya Iran?thubutu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huwezi kuwekea vikwazo,china,russia,iran,venezuela,na huenda pakistan ,uturuki na pengine india,population ya karibu watu bilion 4,halafu uchumi wako ukabaki salama,
ukichukulia hata europe wameshaanza kuwekeana makodi makubwa na marekani,
mwisho wa siku,atadondoka tu,
huenda putin anamtumia Trump kuiangusha marekani as a super power,
ndo maana hata walipokutana,waliongea faragha wao wawili tu,na mpaka sasa congress ya marekani inahoji Trump na putini waliongea nini
Uchumi wa marekani unizidi kuimarika, hahahah! Kwa akili yako unafikiri haya mambo anamua trump tu from no where!! Vitu vimepangwa na viko calculated. Afu tambua mzungu aka mkristo yuko kazini, sasa jiulize huyo Putin, merkel na Europe ndugu yao ni mzungu, mwarabu, muajemi ama muafrika?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom