D donga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2017 Posts 2,560 Reaction score 5,243 Dec 6, 2018 #1 kumekua na ongezeko sana la kinadada kuvaa vikuku mguuni kama leo nimeenda kunyoa saloo X katika mkoa wa iringa nikakuta mdada kavaa skert zakubana zile wanazovaa hasa wanavyuo hajavaa kufuri halaf kavaa kikuku mguu wa kushoto
kumekua na ongezeko sana la kinadada kuvaa vikuku mguuni kama leo nimeenda kunyoa saloo X katika mkoa wa iringa nikakuta mdada kavaa skert zakubana zile wanazovaa hasa wanavyuo hajavaa kufuri halaf kavaa kikuku mguu wa kushoto
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,402 Reaction score 23,199 Dec 6, 2018 #2 Weka kwanza picha ya hizo kuku
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,762 Reaction score 37,392 Dec 6, 2018 #3 fasheni hiyo.kama wewe unaye vaa nguo za kuchanika tukajua ni kichaa