Vikoba/vikundi vya michezo vimekuwa chanzo cha wake za watu kuchepuka

Hivi anacheza afanye biashara arudishe au anachukua tu atumie then arudishe?? Naamini km anafanyia Biahara zake vizuri hamna tatizo kabisa, na pia hata km anayumba sidhani wote wanaliwa kisa wanayumba. Wengine ni Tabia zao tu.

Tuna-generalize mno halafu hawa wanawake wetu wa TZ naona tumewafanya cheap mno when it comes to sex. Kwamba hawawezi fanikisha lolote mpaka aliwe. Tusiwachukulie poa sn tabia za watu fulani isionekane ni za wote
 
Hakuna kitu kwenye maisha yangu nachukia kama vicoba. Kitu kinaitwa vicoba. Wanawake wanutuhunyesha kwasababu za vicoba na vikundi mbalimbali. Mimi sitakaa nimruhusu mke wangu ajiunge kwenye hivi vikundi
 
Muhimu ni KUSHIRIKIANA na MKEO.

Kama anafanya SIRI anakuficha hilo ni TATIZO Jingine
 
Kabla ya kuwa na uzoefu nilikuwa naonaga kushauri mwanandoa Jambo rahisi sana.ni ngumuu
Yaani ogopa sana watu wanaolala pamoja.ni ngumu kuwaachanisha.mimi kwa kweli Sasa hivi kesi ya wanandoa siweki neno.huwa nasume ni Mimi.
Tatizo huwa linaanzia kwenye kosa.

Kinachosababisha wanandoa kutoelewana mara nyingi huwa hakiwekwi wazi mbele ya wasuluhishi.

Utabaki kusuluhisha kosa ambalo si kosa.
 
Miss Natafuta kwa nn ucheze mchezo km una uhakika wa kupata elf 90 kwa siku why usiweke kwenye simu ambayo licha ya kuwa pesa yako inakuwa safe zaidi bado inakuwa na faida kuliko kucheza mchezo. Kucheza mchezo kwanza ni risk, kijumbe anaweza kuondoka na hela. Lkn pia huwa kuna kunakumlipa kijumbe.
 
Kama nakuwa wa kwanza kupokea? Hela haiwekwi inazungushwa
 
Kwanini usifungue fixed account uwe unaweka hela huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…