Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,191
- 46,234
Inakuwa ya huyo mke wa mtu mwenye rejesho la vikoba..inakuwa ya kinyonge.Ahaaa Mungu anakuona.sauti ya mkopaji ikoje??
Inakuwa ya huyo mke wa mtu mwenye rejesho la vikoba..inakuwa ya kinyonge.Ahaaa Mungu anakuona.sauti ya mkopaji ikoje??
HahahahaKifuatacho ITV inakuwa ni "Adam ingiza taratibu" kwa sauti ya mkopaji
Hivi anacheza afanye biashara arudishe au anachukua tu atumie then arudishe?? Naamini km anafanyia Biahara zake vizuri hamna tatizo kabisa, na pia hata km anayumba sidhani wote wanaliwa kisa wanayumba. Wengine ni Tabia zao tu.Mambo yasiwe mengi, na mengi yasiwe mambo.
Carlos The Jackal nasemaje,,, Wewe kama una mke yaan umeoa, halafu unajua kabisa mkeo kazi yake ya kawaida tu, nasio kwamba wee mwanaume una pesa kivileeee
Alafu ana Jihusisha sijui na vikundi yaaan ana vikundi/vikoba/Visheti vingiiiii ila Hela yake haimtoshelezi yaan ana takiwa kila wiki apeleke kwa ujumla laki tatu + .
JUA KWAMBA, ANALIWA ILI APATE PESA YA VIKOBA.
Mkisema hayanihusu poaaa tu, nmemaliza........ila nmeandika kwa Uzoefu naoendelea kuuona.
Hakuna kitu kwenye maisha yangu nachukia kama vicoba. Kitu kinaitwa vicoba. Wanawake wanutuhunyesha kwasababu za vicoba na vikundi mbalimbali. Mimi sitakaa nimruhusu mke wangu ajiunge kwenye hivi vikundiMambo yasiwe mengi, na mengi yasiwe mambo.
Carlos The Jackal nasemaje,,, Wewe kama una mke yaan umeoa, halafu unajua kabisa mkeo kazi yake ya kawaida tu, nasio kwamba wee mwanaume una pesa kivileeee
Alafu ana Jihusisha sijui na vikundi yaaan ana vikundi/vikoba/Visheti vingiiiii ila Hela yake haimtoshelezi yaan ana takiwa kila wiki apeleke kwa ujumla laki tatu + .
JUA KWAMBA, ANALIWA ILI APATE PESA YA VIKOBA.
Mkisema hayanihusu poaaa tu, nmemaliza........ila nmeandika kwa Uzoefu naoendelea kuuona.
Aashh.. uwiiiiiAhaaa Mungu anakuona.sauti ya mkopaji ikoje??
Mmh,jf sihamiKifuatacho ITV inakuwa ni "Adam ingiza taratibu" kwa sauti ya mkopaji
*****..🤣🤣Kikubwa uhai tu
Tena ndo wenyevitimaisha yamekua magumu hadi wanaume nao wanacheza vikoba.
Muhimu ni KUSHIRIKIANA na MKEO.Mambo yasiwe mengi, na mengi yasiwe mambo.
Carlos The Jackal nasemaje, wewe kama una mke yaani umeoa, halafu unajua kabisa mkeo kazi yake ya kawaida tu, nasio kwamba wee mwanaume una pesa kivile halafu ana Jihusisha sijui na vikundi yaaan ana vikundi/vikoba/Visheti vingiiiii ila Hela yake haimtoshelezi yaan ana takiwa kila wiki apeleke kwa ujumla laki tatu.
JUA KWAMBA, ANALIWA ILI APATE PESA YA VIKOBA. Mkisema hayanihusu poa tu, nmemaliza ila nmeandika kwa uzoefu naoendelea kuuona.
Tatizo huwa linaanzia kwenye kosa.Kabla ya kuwa na uzoefu nilikuwa naonaga kushauri mwanandoa Jambo rahisi sana.ni ngumuu
Yaani ogopa sana watu wanaolala pamoja.ni ngumu kuwaachanisha.mimi kwa kweli Sasa hivi kesi ya wanandoa siweki neno.huwa nasume ni Mimi.
ila vikoba vya wanaume wanamaliza vikao saa tano usiku 🤣 🤣 🤣Tena ndo wenyeviti
Tena ukute ni kosa la kitandaniTatizo huwa linaanzia kwenye kosa.
Kinachosababisha wanandoa kutoelewana mara nyingi huwa hakiwekwi wazi mbele ya wasuluhishi.
Utabaki kusuluhisha kosa ambalo si kosa.
Miss Natafuta kwa nn ucheze mchezo km una uhakika wa kupata elf 90 kwa siku why usiweke kwenye simu ambayo licha ya kuwa pesa yako inakuwa safe zaidi bado inakuwa na faida kuliko kucheza mchezo. Kucheza mchezo kwanza ni risk, kijumbe anaweza kuondoka na hela. Lkn pia huwa kuna kunakumlipa kijumbe.Hatuchezi michezo kwa ajili ya njaa boss
Tuseme Mimi nafanya biashara mwezi huu wa sita let say natakiwa kulipa Kodi ya mwaka 6m
Kuna mchezo nacheza kwa siku tuseme elfu 30 na tupo 50 tu minimum.j
Kuliko nitoe 6 m kwa mwenye nyumba at per kutoka kwenye biashara yangu nacheza majina matatu tu najazia Kodi nyingine narudisha mdogo mdogo nazungusha.kama huzalishi michezo na vicoba utaona mateso.ila wajanja wanamake sana.kuna michezo hadi ya milioni mtu unapata mtaji kabisa Bila riba na unafanya mambo.ya maana.
Kama nakuwa wa kwanza kupokea? Hela haiwekwi inazungushwa@Miss Natafuta kwa nn ucheze mchezo km una uhakika wa kupata elf 90 kwa siku why usiweke kwenye simu ambayo licha ya kuwa pesa yako inakuwa safe zaidi bado inakuwa na faida kuliko kucheza mchezo. Kucheza mchezo kwanza ni risk, kijumbe anaweza kuondoka na hela. Lkn pia huwa kuna kunakumlipa kijumbe.
Hahahaha, utabaki kuaambiwa mke haniheshimu, anachelewa kurudi nyumbani🤣Tena ukute ni kosa la kitandani
Kwanini usifungue fixed account uwe unaweka hela hukoHatuchezi michezo kwa ajili ya njaa boss
Tuseme Mimi nafanya biashara mwezi huu wa sita let say natakiwa kulipa Kodi ya mwaka 6m
Kuna mchezo nacheza kwa siku tuseme elfu 30 na tupo 50 tu minimum.j
Kuliko nitoe 6 m kwa mwenye nyumba at per kutoka kwenye biashara yangu nacheza majina matatu tu najazia Kodi nyingine narudisha mdogo mdogo nazungusha.kama huzalishi michezo na vicoba utaona mateso.ila wajanja wanamake sana.kuna michezo hadi ya milioni mtu unapata mtaji kabisa Bila riba na unafanya mambo.ya maana.
Hahaha hmna namna mkuuPunguza kujieleza mkuu, we wapelekee moto tu.