1st AID
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 1,079
- 523
Huko ulipopataja hakufai watu wameingizwa na kuchaguliwa bila kufata taratibu.
sana sana hao jamaa wakiwa bar kutwa kuwapiga watu mkwala,ndomana wanaishia kutoa siri za nchi tu.
ukiwa na watu wenye uelewa mdogo wa kanuni za maadili ni shida, mchujo wao wengine ni toka JkieT pahali penye kutia shaka uhalali wa kielimu. Baba kanintuma ndo hao.