Mkuu watu wa aina hiyo wapo wengi sana ila ukikubali kufanya kazi kwenye hii serikali ya ccm lazima ukubari kupeleka akili zako likizo piaHivi karibuni nilikutana na mmoja wa Wanajeshi aliyefungwa kifungo cha maisha kwa kosa la uhaini kabla ya msamaha wa Rais Mwinyi 1995.
Tulikutana kwa bahati tu, nilimuuliza mambo mengi yaliotukia wakati huo na hata sasa. Kama nilivyotgemea alinieleza kwa ufasaha malengo yao ambayo aliyaita ya kizalendo, na moja alilonieleza ni mabadiliko waliyotaka kuyafanya hasa kiuchumi. Kimsingi, hata baada ya kukamatwa sehemu ya mapendekezo yalifanyiwa kazi na Waziri mkuu wakati huo; Dr.Salim.
Kinachonifurahisha ni kuwa ana kumbukumbu nzuri na ni very intelligent. Akizungumza unaona ile hali ya uzalendo ndani yake, maneno machache ujumbe mzito.
Nachojiuliza kaliba ya Watu aina hiyo hata katika sekta nyingine imepotelea wapi. Tulikosea/tunakosea nini? Saaa hivi unaweza kumsikiliza afisa mkubwa serikalini akizungumza ukajiuliza kama yuko sawa kichwani!!!
Cc JokaKuu, nguruvi, The Boss, Pasco, Ritz, Jasusi, @elochima
Tatizo jengine lililopunguza calibre ya wafanyikazi serikalini ni uajiri wa kujuana, au ndugunization. Nasikia hali ni mbaya zaidi katika taasisi za usalama wa taifa.Mkuu watu wa aina hiyo wapo wengi sana ila ukikubali kufanya kazi kwenye hii serikali ya ccm lazima ukubari kupeleka akili zako likizo pia
Huko ulipopataja hakufai watu wameingizwa na kuchaguliwa bila kufata taratibu.Tatizo jengine lililopunguza calibre ya wafanyikazi serikalini ni uajiri wa kujuana, au ndugunization. Nasikia hali ni mbaya zaidi katika taasisi za usalama wa taifa.
Tatizo jengine lililopunguza calibre ya wafanyikazi serikalini ni uajiri wa kujuana, au ndugunization. Nasikia hali ni mbaya zaidi katika taasisi za usalama wa taifa.
Ulitumia kipimo kipi kuupima uzalendo wake...?
Tatizo jengine lililopunguza calibre ya wafanyikazi serikalini ni uajiri wa kujuana, au ndugunization. Nasikia hali ni mbaya zaidi katika taasisi za usalama wa taifa.
Tatizo jengine lililopunguza calibre ya wafanyikazi serikalini ni uajiri wa kujuana, au ndugunization. Nasikia hali ni mbaya zaidi katika taasisi za usalama wa taifa.
Mimi neno uzalendo hata huwa sielewe maana yake. Sijawahi kulitumia.
Halafu hao ndio unakuta wanapigania leadership positions. Tutaongozwa na vihiyo mpaka lini?:kuna tatizo pia la elimu
siku hizi kila mtu ana dgree mbili au phd
wakati unawakuta wako watupu zaidi
kinachopatikana kinakuwa kama ni 'forged status ya msomi'
wakati uelewa wake ni mdogo sana
Wako wengi serikqlini ila wanapoozwa kwa kupewa viyengo vinono,safari za nje na ile kitu inaitwa POSHO. Hapo mdomo na ubongo unaenda likizoNi wachache sana wapo ndani ya serkali, lakini hawana sauti. wengi wapo nje ya serkali. Na kwa TZ huwa akili ndogo hutawala akili kubwa