Wakuu,
Kuna mama yangu anaitajii kufanya biashara ya vikapu vile vinavyosukwa kwa kutumia mianzi na milala lakini shida iliyopo mahala gani vinapatikana kwa wingi na bei zake ni zipi huko vinakopatikana?
Hivyo kwa mwenye kujua naomba anifahamishe hapa.
Karibuni