Vikao vya kuzimu

Mimi sielewagi hawa watu kabisaaa, kama unayajua yote haya kwann usiende huko uwe unakaa tu
 
Sawa ila hapo mwisho wenye akili tumekusoma ila labda tukujibu sio rahisi hivyo... Tupo salama na mtu salama kwa taifa letu
 
Shetani yupoje?? Ana mapembe, mkia majicho?? Maana huwezi kufika kwenye nyumba usimjue baba mwenye nyumba
Shetani ni kiumbe roho sio kiumbe mwili... Ni ngumu kumpa umbo kwa mtazamo wa kibinadamu... Kwakuwa akili za binadamu wengi ziko so limited
 
Shetani ni kiumbe roho sio kiumbe mwili... Ni ngumu kumpa umbo kwa mtazamo wa kibinadamu... Kwakuwa akili za binadamu wengi ziko so limited

Ni roho isiyo na umbo?? Ukimwona si unakua katika roho na wewe?? Ko wote mko katika network moja hata ufahamu wako unakua si wa mwili ni wa roho ko lazima umwone alivyo kama ni jitu lenye mkia au pembe
 
Hapana roho haina macho kama ya binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…