IHOLOMELA
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,807
- 1,677
Wale mliokuwa mnajifanya hamuangalii TBC1 sasa itakula kwenu!!! sasa inakubidi uwafahamu watangazaji wako mahiri, vipindi vya elimu kama:-
1. Zamadamu
2. Malenga wetu
3. Mkoa kwa mkoa
4. Utalii wa ndani
6. Kilimo chetu
7. Tanesco inavyoangaza maisha
8. Rudi nyumbani kumenoga
9. TEKNO KWANZA
10. Mtaalamu wetu
11. TODAY IS PERSPECTIVE (wale wapenzi wa lugha malkia lao hawataachwa mbali)
12. Safari ya Dodoma
13. Nyumba ya Jirani
14. MAZUNGUMZO BAADA YA HABARI
15. Chereko
16. Ujenzi wa Viwanda
17.Tunatekeleza
18. Ubongo Kids
19. Mapishi
1. Zamadamu
2. Malenga wetu
3. Mkoa kwa mkoa
4. Utalii wa ndani
6. Kilimo chetu
7. Tanesco inavyoangaza maisha
8. Rudi nyumbani kumenoga
9. TEKNO KWANZA
10. Mtaalamu wetu
11. TODAY IS PERSPECTIVE (wale wapenzi wa lugha malkia lao hawataachwa mbali)
12. Safari ya Dodoma
13. Nyumba ya Jirani
14. MAZUNGUMZO BAADA YA HABARI
15. Chereko
16. Ujenzi wa Viwanda
17.Tunatekeleza
18. Ubongo Kids
19. Mapishi
