Vijimambo vya wanaume vinavyowakera wanawake...!

Asnam utapiga keleleeee ila habari ndio imeishia hapo ww ukiamua kukesha unaangalia Maria Clara kesho nakuongezea TV nyingine ukomae nayo ili mi nipate fursa ya kutafakari mambo yangu.
 
Last edited by a moderator:
Asnam utapiga keleleeee ila habari ndio imeishia hapo ww ukiamua kukesha unaangalia Maria Clara kesho nakuongezea TV nyingine ukomae nayo ili mi nipate fursa ya kutafakari mambo yangu.

utatafakari sana tu mwisho wa siku utanitafuta tu
 
Wakati wa kuangalia mpira huwa sipendi kuulizwa kitu chochote...kweli Mtambuzi umewaibia siri!
 

na ukizubaa waweza na kukutana na ki-klebu cha vidoleni....
 

Binafsi nikimuona mdada mrembo lazima nitamuangalia tu! Tena naweza hata nikamsifia waziwazi huku hubby akisikia na anapojifanya hana habari mie nacheka kipembeni.
 
Binafsi nikimuona mdada mrembo lazima nitamuangalia tu! Tena naweza hata nikamsifia waziwazi huku hubby akisikia na anapojifanya hana habari mie nacheka kipembeni.

na wewe ukiona mzee anakata Jicho unajisikiaje??
 
Sijambo Kaizer, miss you too! Jamani umemuona wapi Mwita Maranya? maana hajarudi nyumbani wiki ya tatu sasa! Mwambie watoto wanamlilia.
Mwita Maranya yupo kwenye kampeni za kutuokomeza mkono sweta huko tabora atamaliza nadhani katikati ya mwezi huu, meanwhile kama kuna chochote naweza kusaidia?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mtambuzi hiyo namba mbili ya kukata shingo mimi na mke wangu tunaangalia.

Ikipita kazi imefungashia au imevaa kihasara hasara namshtua au ananishtua kuitazama. Napenda sana zile stockings basi hapo mke wangu akimuona mwanamke na stockings tu ananishtua fasta. Tunatoa macho(nafaidi)
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…