Ushauri mzuriTushabikie siasa lakini tusisahau uzee ulikuja kama utoto ulivyoondoka! Hakuna mtu atakaepigania maisha yako wakati we mwenyewe upo hai......
Inawezekana unafanya kazi ila tazama kwa mtazamo mwingine wa kijamii, kumezuka siasa za chuki na za kijinga siku hizi, watu wanaongea maneno bila akiba sasa baada ya miaka kadhaa na kuwa wazee je tutaweza kutazamana usoni tena?Kwani ukifatilia siasa haufanyi Kazi zako??
Yatawezekana tu ndugu,hakuna marefu yasiyo na ncha. Tukishindwa basi vijaji vijavyo vitarekebishaInawezekana unafanya kazi ila tazama kwa mtazamo mwingine wa kijamii, kumezuka siasa za chuki na za kijinga siku hizi, watu wanaongea maneno bila akiba sasa baada ya miaka kadhaa na kuwa wazee je tutaweza kutazamana usoni tena?
Hawana akili nzuri haoKuna watu tangu vyama vingi viingie nchini washabiki wakubwa wa siasa lakini wanasikitisha sana kipindi cha uchaguzi kikipita! Huo muda wangeutumia kwa maisha yao....