Vijana wengi wa KATAA NDOA hawajielewi

Usikute wewe ndio shoga sasa
Afu uko mstari wa mbele kuonge
Mala nyingi mtu huwa kulingana na mawazo yake!!

Siungani nao hata chembe
Ila pia sipingani nao hata chembe
Kwakua kila kitu kina sababu zake
Na ukweli usiopingika ni kua mambo yameharibika sana
Ladies + gentlemen wote wamesahau wajibu wao kwenye ndoa ni nini
Mwanaume hataki kuhudumia familia yake KIKAMILIFU
Mwanamke nae vilevile
Mwisho wa siku ni mapalangano yasio na mwisho
Na kwa bahati mbaya nowadays feminists wameshikilia kisahani cha dj
Wanawayumbisha wanawake kushoto kulia
Juu kushoto
Utaishi vipi na mwanamke ambae hataki kukusikiliza? Wote wawili ndani ni + kwa +
Mtaishi vipi
Mkizinguana mali zote mnagawana
Nani anataka?

Ndoa ni kitu chema
Ntaowa tu
Ilamsipende kuona km mawazo yenu ni sahihi kuzidi wengine kwakua hawakwnda utakavyo

Wanasababu zao ,hawakusema na kuamua kama kuku asie na kichwa.
 
Vijana wa kileo wanapenda sana kuto mbana
Sijui umeandika nini? Ukinyimwa unyumba unaanza kuweka vikao.
Msingi wa ndoa ni ngono ambapo malaya wawili wanakutana, wanagegedana ili wawe huru kugegedana muda wote wanaishi pamoja ambapo nyie mnaita ndoa.
Ingekuwa hivyo hata wenye vibamia na hanithi wangekuwa kwenye ndoa
Huyo unayemuita mkeo, usipo mgonga anakukimbia 😀😀😀😀
 
Kinachokufanya kuoa ni kuijaza dunia na kupata starehe ya ngono, hii kwa mujibu wa wewe.

Siku hizi ngono inauzwa na kuzaa sio issue, wapo kibao mitaani wameoa na bado wanawatoto nje ya ndoa, tafsiri yake ni kwamba wazee wa kataa ndoa wanapiga mboo, wanazalisha lakini hawahitaji kuishi mke na mume.
Makahaba tangu mwanzo yalikuwepo na ndoa ziliendelea kuwepo. Kuachana pia kulikuwepo hata enzi za mababu zetu vilevile na uzinzi ulikiwepo na huwezi kuisha!
 
Usikute wewe ndio shoga sasa
Afu uko mstari wa mbele kuonge
Mala nyingi mtu huwa kulingana na mawazo yake!!

Siungani nao hata chembe
Ila pia sipingani nao hata chembe
Kwakua kila kitu kina sababu zake
Na ukweli usiopingika ni kua mambo yameharibika sana
Ladies + gentlemen wote wamesahau wajibu wao kwenye ndoa ni nini
Mwanaume hataki kuhudumia familia yake KIKAMILIFU
Mwanamke nae vilevile
Mwisho wa siku ni mapalangano yasio na mwisho
Na kwa bahati mbaya nowadays feminists wameshikilia kisahani cha dj
Wanawayumbisha wanawake kushoto kulia
Juu kushoto
Utaishi vipi na mwanamke ambae hataki kukusikiliza? Wote wawili ndani ni + kwa +
Mtaishi vipi
Mkizinguana mali zote mnagawana
Nani anataka?

Ndoa ni kitu chema
Ntaowa tu
Ilamsipende kuona km mawazo yenu ni sahihi kuzidi wengine kwakua hawakwnda utakavyo

Wanasababu zao ,hawakusema na kuamua kama kuku asie na kichwa.
Sawa Mimi shoga. Mkuu turudi kwenye mada
 
Back
Top Bottom