Vijana wengi Tanzania ni machinga

kiss daniel

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
313
1,000
Aman iwe juu yenu wakuu

Katika tembea yangu nchin Tanzania nimegundua kuwa vijana wengj nchin Tanzania ni machinga

Na ni machinga wenye mitaji ya elf kumi kurud chini na wengi wao Maisha yao ni magumu sana had unawaonea huruma na biashara yao hiyo haiwalipi kabisa

Unamkata kujana anauza soksi na heren kabeba mkononi kachoka kapauka ile mbaya

Selikari ijitaid kuwajengea vijana manzigira mazur ya kuwa na Maisha bora, selikar imejisahau sana kuhusu hilo vijana wanateketea

Sent using Jamii Forums mobile app
 

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,366
2,000
Selikari ijitaid kuwajengea vijana manzigira mazur ya kuwa na Maisha bora????? KIVIPI?

miundombinu na kuwawezesha mitaji na masoko kwa masharti nafuu

mfano hata ukilima mazao ukayapata megi.. kama Tanzania hakuna soko maana yake umekula hasara.. hawaruhusu uuze hata nchi jirani
 

Ryamalungu

Member
Mar 4, 2018
52
125
P
miundombinu na kuwawezesha mitaji na masoko kwa masharti nafuu

mfano hata ukilima mazao ukayapata megi.. kama Tanzania hakuna soko maana yake umekula hasara.. hawaruhusu uuze hata nchi jirani
PAMOJA NA HAYO, NA VIJANA WENYEWE WAJIJENGEE UELEWA KWA KUSOMA VITU VYA KUJIONGEZEA MAARIFA KATIKA UJUZI FLANI
MAANA BILA HIVYO HATA SERIKALI IKIJITAHIDI KUFANYA HAYO BILA JITIHADA ZA KIJANA MWENYEWE NI KAZI BURE.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom