Sawa kabisa. Hata hivyo kwa maoni yangu naona kama maandamano hayana mantiki, afterall kipindi chenyewe cha bunge kinaenda mwishoni na watu wameshalamba na wanaendelea kulamba mamilioni yao. Hata watu wakiandamana, hiyo pesa waliyochukua itarudi? Wapange hoja nyingine, hiyo itawaumiza wananchi walalahoi wenzangu bure tu.
Mm nadhani kila mtu anayo haki ya kutoa maoni yake humu jf, shindaneni kwa hoja sio kwa matusi, kulazimisha wengine wakubaliane na mtazamo wako sio sahihi sana ,toa hoja ijadiliwe