Vijana wazalendo watoa tamko

Uzalendo kwanza mafisadi nyuma.Na kwa taarifa yenu mahakama inaanzishwa kwa ajili yenu
 
Cc matamko yatawaua, mmetunga matamko hadi yanaenda kuisha wakati ndio kwanza hatujafika hata robo ya kampeni, kufikia tarehe 20 october mtakua icu maana matamko yatakua yameisha maana ndio yanawafariji.

Nendeni milembe mkaombe matamko ya wanachama wenu walioko kule maana wote walioko milembe ni wanachama wa ccm, msiwasahau kwenye matamko.
 
Chaguo sahihi ni Dr John Pombe Magufuli
 
Lowasa alitemwa CCM kutokana na kuwa na makandokando mengi.
 
Alikudanganya nani tanzania ni nchi tukufu!! Hizo elfu kumi ziko wapi?
 
tumechoka kuongozwa na ccm,tumechoka kutegemea watu/mtu,tutachagua ukawa ili watuletee katiba yetu ambayo ndiyo itaweka mifumo bora ya utawala wa nchi yetu
 
Wagombea wenye makandokando mengi hawastahili kabisa tuwapige vita popote wanapopita.

Magufuri alinifanya niachane na uvuvi kura yangu hapati. Namkumbuka alipokuja katika kisiwa cha Kome mchangani wilayani Sengerema akielekea chato kwa ubabe wa hotuba na kilichofuata baada ya hapo.
 
Lowasa alitemwa CCM kutokana na kuwa na makandokando mengi.
2005 tulichagua chaguo la Mungu mr.Jk unakumbuka issue ya escrow alifanyaje?aliyeumwa na nyoka hata akiona Jani anaruka,hatudanganyiki na blabla zetu Tena.tuna kwenda na huyo mtu mwenye makandokando
 
Mimi sera siku hizi sisikilizi
 

Naona baada ya kila mbinu kushindikana mnakuja kama malaika sasa:what: yaani ccm hatuitaki tena, inakwenda kupotea kama kanu ya moi, c.c.m bye bye..!!
 
Hata hivyo mi sina wasiwasi kwa sababu Mungu anaipenda Tanzania hawezi kuruhusu itawaliwe na Rais ambaye siye!
 

We sisiem lini umekaa na vijana na kuja na wazo hilo
Haya vizur hata hivyo basi tutazikataa buku kumi us ccm na kumpa lowasa kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…