Wagombea wenye makandokando mengi hawastahili kabisa tuwapige vita popote wanapopita.
sawa kabisa tumchague Lowassa.Ni kweli vijana tusifanye makosa tumchague kiongozi muadilifu na mchapa kazi ili tuipate Tanzania tuitakayo
Lakini hili sio tamko la vijana bali ni tamko la muanzisha mada
Naona unaandika halafu unajijibu mwenyewe mkuu. Pole
Alisahau kuhamia kwenye ID yake nyingine.
Mwadilifu ni lowassa aliyekubali kujihudhuru kwa ajili ya kuikoa serikali na chama chake.
Tusichague ccm maana wamemaliza tembo wote wameingiza nchi kwenye ufukara na kuwasababishia watanzania maisha magumu yasiyoelezeka
tumeiamini miaka 53 hatuwezi tena kurudia kosa