Baba Parokoo
Member
- Jul 20, 2016
- 60
- 17
Najua na wewe umo ndio sababu Bora kuwa mzee maana wangesema tungeenda kuzimu hilo shimo vijana mliomo hamuwezi kutoka hata mwisho ujeWew utakua hujielewi tena kwa mwanaume anapenda ngono kuliko chakula ata wewe unapenda sana. Kila siku vijana tu na wewe hukupita uko. HUjawahi kubalehe labda.
Wacha tupende tu kwanza ukifanya unafurahi moyo nao mwerere unafurahi to the maxmum kama inakuuma pooleee kakojoe ulale
Hqhhahahhahahha jamanii!!Wew utakua hujielewi tena kwa mwanaume anapenda ngono kuliko chakula ata wewe unapenda sana. Kila siku vijana tu na wewe hukupita uko. HUjawahi kubalehe labda.
Wacha tupende tu kwanza ukifanya unafurahi moyo nao mwerere unafurahi to the maxmum kama inakuuma pooleee kakojoe ulale
na parokoo wanajuaga zigo ama kweli hili zigo!Hakika hili zigo
Sasa wewe Baba paroko kilichokuleta kwenye jukwaa la mapenzi ni nini???...we unafikiri ibada inaweza kureplace mapenzi???...Bila shaka uliwaza mapenzi kwanza kabla ya kuingia jukwaa la mapenzi,,,,sasa wewe ni kijaana???Yaani nawaza hapa kama ingekuwa mapenzi ndio ingekuwa kama ibada vile nadhani vijana wote wangeingia mbinguni. Kwasababu mawazo na juhudi zote kwa asilimia kubwa na asilimia kubwa ya vijana wanawaza mapenzi na jinsi kupata wachumba wapya hapa ndio mitaji malengo na jitihada zao huishia hapa.
Yaani kama vile tunafanana na Samsoni na Delila tunaona jinsi Samsoni alivyokuwa tishio kwa wafilist mpaka wakaamua kumtumia Delila kujua siri ya nguvu za Samsoni. Kweli mwanaume kwa mwanamke basi ila ndio hivyo mbinguni sijui labda tubadilike kimtazamo na kifikra.
Wewe kabla ya kuingia kwenye jukwaa la mapenzi, uliwaza mapenzi kwanza.....sasa wewe ni kijana???Yaani nawaza hapa kama ingekuwa mapenzi ndio ingekuwa kama ibada vile nadhani vijana wote wangeingia mbinguni. Kwasababu mawazo na juhudi zote kwa asilimia kubwa na asilimia kubwa ya vijana wanawaza mapenzi na jinsi kupata wachumba wapya hapa ndio mitaji malengo na jitihada zao huishia hapa.