Hahaha asihangaike sana ajitahidi afahamu kusoma na kuandika tu vinamtosha. Nchi hii hata muhitimu wa kozi ya ualimu hawezi au hafahamu kufundisha, huku tunatafuta vyeti tupate kazi za kuajiriwa na mishahara mikubwa. Elimu haina tija, bora aanze biashara mapema.