Vijana wa Lumumba UVCCM, MATAGA mliokuwa mnamtukana Lowassa mnajisikiaje?

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Ni juzi tu mlikuwa mnaporomosha matusi mengine ya nguoni, na kumdhalilisha kwa uzee wake, kwa ugonjwa wake, wengine wakamdhihaki eti ana ugonjwa wa kujinyea. Leo Lowassa ni boss wenu mtaficha wapi nyuso zenu mtakapokuwa mnapishana naye kwenye korido za Lumumba na kumpelekea maji ya kunywa high table.

POLEPOLE

MAKONDA

Hizi ni siasa tu zisitutoe ufahamu tukatenda ya kumkufuru Mwenyezi Mungu aliyetuumba.

Haya sasa Fisadi Kuu limetua chumbani ni kazi kwenu kupeana zamu ya kulisafisha kwa dodoki hadi ufisadi uishe.

CC:
@Musukuma PolePole
FaizaFoxy Crimea cocochanel
MSAGA SUMU sheiza kipara kipya kabombe JINOME Jay One FPT KIBST YEHODAYA Wakudadavuwa jingalao MsemajiUkweli Lizaboni johnthebaptist Elitwege Masenu K Msuya thetallest Sir Khan
 
Jiheshimu binadamu wewe

Kama umekulia kwenye matusi.. usiniandike mimi na ujinga huo.
Acha kutafuta kiki kupitia jina langu humu ambalo mimi sio mtukanaji kama wewe.

💀💀💀💀
 
Inafanana na wale waliomwita fisadi na mwizi kisha wakataka awe raisi wetu... chadema wenye akili tuliumizwa sana na ule ujinga
Ni juzi tu mlikuwa mnaporomosha matusi mengine ya nguoni, na kumdhalilisha kwa uzee wake, kwa ugonjwa wake, wengine wakamdhihaki eti ana ugonjwa wa kujinyea. Leo Lowassa ni boss wenu mtaficha wapi nyuso zenu mtakapokuwa mnapishana naye kwenye korido za Lumumba na kumpelekea maji ya kunywa high table.

Hizi ni siasa tu zisitutoe ufahamu tukatenda ya kumkufuru Mwenyezi Mungu aliyetuumba.

Haya sasa Fisadi Kuu limetua chumbani ni kazi kwenu kupeana zamu ya kulisafisha.

CC:

FaizaFoxy Crimea cocochanel
MSAGA SUMU sheiza kipara kipya kabombe JINOME Jay One FPT KIBST @heyodaya @wakudadavua Lizaboni johnthebaptist Elitwege[/QUOTE
 
Ni juzi tu mlikuwa mnaporomosha matusi mengine ya nguoni, na kumdhalilisha kwa uzee wake, kwa ugonjwa wake, wengine wakamdhihaki eti ana ugonjwa wa kujinyea. Leo Lowassa ni boss wenu mtaficha wapi nyuso zenu mtakapokuwa mnapishana naye kwenye korido za Lumumba na kumpelekea maji ya kunywa high table.

Hizi ni siasa tu zisitutoe ufahamu tukatenda ya kumkufuru Mwenyezi Mungu aliyetuumba.

Haya sasa Fisadi Kuu limetua chumbani ni kazi kwenu kupeana zamu ya kulisafisha.

CC:

FaizaFoxy Crimea cocochanel
MSAGA SUMU sheiza kipara kipya kabombe JINOME Jay One FPT KIBST @heyodaya @wakudadavua Lizaboni johnthebaptist Elitwege
Ukweli usiopingika ni kuwa, siasa ni mchezo mchafu sana tena sana.

Fundisho nililolipata ni kuwa, Tanzania hakuna mwanasiasa wa wito wa kuwatumikia wananchi kwa dhati. Wote ni wanafik na wapo kwanza kabisa kwa maslahi yao binafsi na familia zao. Hawana tofauti na Mafia.

Tusiumizane vichwa humu JF na tusiumizane mitaani kwa ajili ya mwanasiasa yeyote yule.
 
Ni juzi tu mlikuwa mnaporomosha matusi mengine ya nguoni, na kumdhalilisha kwa uzee wake, kwa ugonjwa wake, wengine wakamdhihaki eti ana ugonjwa wa kujinyea. Leo Lowassa ni boss wenu mtaficha wapi nyuso zenu mtakapokuwa mnapishana naye kwenye korido za Lumumba na kumpelekea maji ya kunywa high table.

Hizi ni siasa tu zisitutoe ufahamu tukatenda ya kumkufuru Mwenyezi Mungu aliyetuumba.

Haya sasa Fisadi Kuu limetua chumbani ni kazi kwenu kupeana zamu ya kulisafisha kwa dodoki hadi ufisadi uishe.

CC:

FaizaFoxy Crimea cocochanel
MSAGA SUMU sheiza kipara kipya kabombe JINOME Jay One FPT KIBST YEHODAYA Wakudadavuwa jingalao MsemajiUkweli Lizaboni johnthebaptist Elitwege
Mbona Yericko alikuwa anampigia magoti Lowassa anunue vitabu vya Ujasusi wa kidola. Lowassa jembe sana
 
watakuwa wanajisikia kama hawa:

tapatalk_1522761471915.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni juzi tu mlikuwa mnaporomosha matusi mengine ya nguoni, na kumdhalilisha kwa uzee wake, kwa ugonjwa wake, wengine wakamdhihaki eti ana ugonjwa wa kujinyea. Leo Lowassa ni boss wenu mtaficha wapi nyuso zenu mtakapokuwa mnapishana naye kwenye korido za Lumumba na kumpelekea maji ya kunywa high table.

Hizi ni siasa tu zisitutoe ufahamu tukatenda ya kumkufuru Mwenyezi Mungu aliyetuumba.

Haya sasa Fisadi Kuu limetua chumbani ni kazi kwenu kupeana zamu ya kulisafisha kwa dodoki hadi ufisadi uishe.

CC:

FaizaFoxy Crimea cocochanel
MSAGA SUMU sheiza kipara kipya kabombe JINOME Jay One FPT KIBST YEHODAYA Wakudadavuwa jingalao MsemajiUkweli Lizaboni johnthebaptist Elitwege Masenu K Msuya thetallest Sir Khan
Mzee Lowasa siyo fisadi kwa mujibu wa wapizani waliotembea nchi nzima wakimnadi 2015 awe rais. walimuita rais wa wanyonge hahahahah
 
Ni juzi tu mlikuwa mnaporomosha matusi mengine ya nguoni, na kumdhalilisha kwa uzee wake, kwa ugonjwa wake, wengine wakamdhihaki eti ana ugonjwa wa kujinyea. Leo Lowassa ni boss wenu mtaficha wapi nyuso zenu mtakapokuwa mnapishana naye kwenye korido za Lumumba na kumpelekea maji ya kunywa high table.

Hizi ni siasa tu zisitutoe ufahamu tukatenda ya kumkufuru Mwenyezi Mungu aliyetuumba.

Haya sasa Fisadi Kuu limetua chumbani ni kazi kwenu kupeana zamu ya kulisafisha kwa dodoki hadi ufisadi uishe.

CC:
@Musukuma
FaizaFoxy Crimea cocochanel
MSAGA SUMU sheiza kipara kipya kabombe JINOME Jay One FPT KIBST YEHODAYA Wakudadavuwa jingalao MsemajiUkweli Lizaboni johnthebaptist Elitwege Masenu K Msuya thetallest Sir Khan
Si mlishamsafisha au mmesahau? Kwa kuwa ni wepesi wa kusahau na kubadilisha gia angani. Nasikia sasa mnataka kumchomoa Jasusi Membe!! Au mmeairisha mnataka kwenda na mgonjwa Lissu au tusubiri mfungwa Mbowe mzee wa kubadilisha gia angani atoke huko segerea aje atoe msimamo??
 
Back
Top Bottom