Maisha ya sasa hivi pesa inatumika kila dakika
wewe ku post tu JF umetumia pesa
kupokea tu watsap message simu lazima iwe na bundle ambayo ni pesa
24 hours now tunatumia pesa
hata watsap sms zinazoingia ukiwa umelala zinahitaji pesa kukufikia
mahitaji ya pesa ya kizazi hiki ni makubwa sana kulinganisha na zamani
na mabinti sasa wanashindwa ku keep up kwa kutegemea pocket money za baba au mama

mtoa mada uwe unasoma hii comment iwe kama salaMaisha ya sasa hivi pesa inatumika kila dakika