At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,557
- 3,628
Acha ubaguzi na vijana wa kike waende wapi?Habarini Vijana Wenzangu.
Nimeamua kuanzisha uzi uwe maalumu kwa ajili ya vijana wa kiume ili tuweze kushauriana kuhusu mambo mbali mbali yanayotukabili sisi vijana katika nyanja mbalimbali za maisha.
Tuweze kushauriana katika masuala kama kazi, mahusiano, elimu na mengine mengi kama yanayotuhusi vijana.
Mnakaribishwa kwa moyo mkunjufu muweze kuchangia ili vijana tuweze pata ujuzi kupitia huu uzi.
Hata watu wengine mnakaribishwa kuchangia ili kudumisha ustawi wa vijana tuweze kusonga mbele kwenye jamii zetu.
Naomba kuwasilisha.
Acha ubaguzi na vijana wa kike waende wapi?
Sio ubaguzi mkuu,Acha ubaguzi na vijana wa kike waende wapi?
TutashukuruWazee wakubwa tutawashauri kama mkiyumba
Mh!Nina mademu wanne sasa nashindwa nimchague yupi kila mmoja Ana sifa yake inayonivutia.nizingatie vitu gani
Wawili Wana kazi wawili hawana kazi
Afu hao wawili ambao hawana kazi nimebahatika kuwatoa bikra na wananijali sana
Ndo IvoUbaguzi upo toka enzi na enzi, ndio maana wewe unabaguliwa usilale na dada zako
Kwa Kweli Vijana Tubebane.Hebu hiyo michongo ya kazi wajameni
Bikra sio issue look into who has futureNina mademu wanne sasa nashindwa nimchague yupi kila mmoja Ana sifa yake inayonivutia.nizingatie vitu gani
Wawili Wana kazi wawili hawana kazi
Afu hao wawili ambao hawana kazi nimebahatika kuwatoa bikra na wananijali sana
Sawa. Bila Shaka.Muwe mnatupa sukari mababu zenu ili tuwabariki na kuwashauri vyema