M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 9,218 Reaction score 14,082 Aug 9, 2026 #1 Vijana swala zinawashinda za dakika 5, wanashinda kwenye TV wakiangalia yanga na Simba day.
M mbari sa menya JF-Expert Member Joined Apr 29, 2022 Posts 1,004 Reaction score 1,899 Aug 9, 2026 #2 Malaria 2 said: Vijana swala zinawashinda za dakika 5, wanashinda kwenye TV wakiangalia yanga na Simba day. Click to expand... Sasa Sheikh kama vijana wanaisikia athana, na hawaendi kuswali ukiandika humu hawatakuelewa, Wewe waombee dua pengine watabadilika,
Malaria 2 said: Vijana swala zinawashinda za dakika 5, wanashinda kwenye TV wakiangalia yanga na Simba day. Click to expand... Sasa Sheikh kama vijana wanaisikia athana, na hawaendi kuswali ukiandika humu hawatakuelewa, Wewe waombee dua pengine watabadilika,
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 62,457 Reaction score 104,626 Aug 9, 2026 #3 Tuliza mzima sheikh, mpira ni mkubwa kuliko dini.
M Mopak JF-Expert Member Joined Sep 19, 2024 Posts 2,554 Reaction score 5,427 Aug 9, 2026 #4 Dini zililetwa tuu.