Vijana wa Dar mnakwama wapi!?

Unaweza kuta jamaa hapo anacheza UEFA afu ndo kwanza kafika knock out stage. First leg anakiwasha na Man U so anataka awaonee!

I moved your cheese!
 
Dadekii I feel you man [emoji3][emoji3] dah au unacheza master leugue halafu upo uefa semi final na league cup final hivi hapo unachomoka vipi
Unaweza kuta jamaa hapo anacheza UEFA afu ndo kwanza kafika knock out stage. First leg anakiwasha na Man U so anataka awaonee!

I moved your cheese!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…