Ebu weka hayo maneno yangu niliyoandika arusi, abari, hamani, humu Jamvini hakuna sehemu yoyote mie nimeandika hivyo ukiweka mie najitoa JF kuanzia leo zaidi ya hapo wewe ni mtu wa mipasho tu...neno siyo na sio kwangu mie sio ndio sahihi...kuna members wengi tu humu JF wanatumia neno sio badala ya siyo kama
AshaDii na
Ribosome.