PreGE2025 Vijana wa CCM Kawe: Tunamsema Askofu Gwajima kwasababu aligusa familia za viongozi wetu

PreGE2025 Vijana wa CCM Kawe: Tunamsema Askofu Gwajima kwasababu aligusa familia za viongozi wetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mbunge wa Jimbo la Kawe, wamvaa Askofu Josephat Gwajima kwa kauli zake za kulaani vikali vitendo vya utekaji vinavyoripotiwa kuendelea nchini Tanzania, na kuhusu viongozi wa Serikali na Chama.

 
1746441250648.png
 
Ukiona wazazi wao kule Bungeni wakifanya taarab.... watoto wao lazima wawe hivyo hivyo......

Kadiri ccm inavyomjibu Gwajima ndivyo wanavyouthibitishia ulimwengu walivyoteka na kuua watu
 
Lissu akirudi uraiani apumzike zake kwake tuu, watz bado hatuna akili timamu.
Mkuu kuna tofauti ya mtu mwenye wito wa kusaidia jamii na yule anayesaidia jamii kwa njaa.....hatakaa ache hata akiba mwenyewe.....
 
Hawa wapumbavu wazazi wao wanaishi kwenye umasikini wa kutupwa lakini wao wanawaza teuzi. Pumbavu sn
 
Back
Top Bottom