Vijana wa bodaboda wapigwa mabomu Usalama , walikuwa wakifanya maandamano saa sita usiku

RobyMi

JF-Expert Member
Mar 4, 2012
848
863
Vijana wa boda boda zaid ya 50 wamezuiwa kwa mabomu na polisi maeneo ya kituo cha usalama station posta, baada ya kuja kwa fujo kwa nia ya kuandamana saa sita ya usiku leo . Mpaka sasa sijajua chanzo cha hawa boda boda wengi namna hii kuja hapa usalama , na sijaelewa ya kama stop point yao ilikua ni hapo usalama au kuna sehem walikua wanaelekea.

Hili tukio limetokea punde tu , nasubiria kupata sabab hasa ya vijana hawa kuandamana

Nlikua karibu na eneo la tukio.
 
Vijaba wa Ugambani hao wanaojivika koti la UKAWA
Kuna kitu sio bure
 
Back
Top Bottom