VIJANA TUNUNUE MAGARI

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]doh kwan uyo demu alikuwa na mshkaji au ailikua mwenyew....
 
Wachawi wa maendeleo ni sisi wenyewe, ss kwa akili hizi itatugharimu karne ngapi kufika uchumi wa kati[emoji848][emoji57]
 
Vijana Tununue Magari Jamani Jamaa Kachukua Demu Mbele Yetu Na Kigari Chake [emoji119][emoji119]

Kwahiyo Wewe kwa Umri wako wote huo na Akili zako zote zilizopo katika huo Ubongo wako ' Kipaumbele ' chako Maishani ni Kumiliki Gari? Kuna Watu ndiyo mnasababisha ' Wazungu ' kila Siku watucheke, watudharau na watuone ' Wapumbavu ' sana Sisi Waafrika kwa ' Upeo ' wa ' hovyo hovyo ' kama huu.
 
mtani umetumia nguvu nyingi kuua sisimizi
 
sioni tatizo, starehe baada ya kazi haizui maendeleo.
walevi wa k wengi tu na mambo yanasonga
Yani uende kabisa ktk yadi ununue gari 7bu ya demu ambaye ni mpita njia anayeweza kukusaliti kwa mpakaaji wa rangi za kucha na mkaanga chipsi, si matope hayo[emoji848][emoji3525]
 
Pole sana kwa kupiga ngondi.
Wenzio magari yetu siti za nyuma tunapigia show kabisa, hamna gharama ya venue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…