Vijana qenyewe ndio mnaokalia uzushi tu?Kuelekea siku ya wafanyakazi nchini Mei mosi, vijana ambao wanahitimu elimu ya vyuo vikuu tunaomba Serikali yetu chini ya Rais wetu mpendwa Mama Samia na timu yake yote tunamuomba jambo moja nalo ni;
1. Umri wa kustaafu upunguzwe uwe miaka 45 hiari na 55 iwe lazima, badala ilivyo sasa kuwa 50 hiari na 55 hadi 65 lazima.
Suala hili la umri wa kustaafu limekuwa kikwazo kikubwa kwa upatikanaji wa nafasi kwa kundi kubwa la vijana wanao hitimu vyuo vikuu.
Utafiti unaonyesha kwenye idara mbalimbali za serikali kuna wazee wengi ambao tayari wamechoka, hawana tija, hivyo ni vyema umri wa kustaafu ukapunguzwa ili kupisha vijana nao walitumikie taifa lao.
Tunaomba pendwkezo hili lizingatiwe.
Mzee achia nafasi vijana, unataka kuifia ofisini?Dah, we ni wa wapi?
Ili hawa watakaostaafu wakiwa vijana wakalete tena msongamano? Acha uboya wewe!Umri wa kustaafu upunguzwe uwe miaka 45 hiari na 55 iwe lazima, badala ilivyo sasa kuwa 50 hiari na 55 hadi 65 lazima.
Wazee vipi mbona hamtaki kustaafu????achieni vijana nafasi. Unataka kuifia ofisini?!!!Ili hawa watakaostaafu wakiwa vijana wakalete tena msongamano? Acha uboya wewe!
Wazee wameziba nafasi, hawataki kustaafu, wengi wao wamefoji umri wa kustaafu, ukitizama vyeti vyao vya kuzaliwa na sura zao vitu viwili tofauti kabisa.Vijana wanaobeti usiku kucha
Uliona wapi watu wanakufa wakiwa na miaka 55? UN inasema umri wa kustaafu ni miaka 65 huyo ndiye mzee, sisi wenye below 60 bado tuna tija kwa Taifa! Zamu yako itafika ila kumbuka serikali haiajiri wenye zaidi ya miaka 45 kwa ajira ya kwanza!Wazee vipi mbona hamtaki kustaafu????achieni vijana nafasi. Unataka kuifia ofisini?!!!
Kujiajiri ni jambo jema lakini pia lazima tuondoe vikwazo vinavyo sababisha tukose ajira serikalini, kikwazo kimojawapo ni UMRI WA KUSTAAFU.Vijana tujiajiri tuu
Niaje mzee wa madafuVijana qenyewe ndio mnaokalia uzushi tu?
Je, unafahamu kwa sasa umri wa kuishi (life span)kwa mtanzania ni miaka 45 hadi 50??Uliona wapi watu wanakufa wakiwa na miaka 55? UN inasema umri wa kustaafu ni miaka 65 huyo ndiye mzee, sisi wenye below 60 bado tuna tija kwa Taifa! Zamu yako itafika ila kumbuka serikali haiajiri wenye zaidi ya miaka 45 kwa ajira ya kwanza!