Papaa Muu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 243
- 292
Watanzania hasa vijana tuamke. Habari za kupewa pipi na peremende zisituangushe na kuisaliti nchi yetu.
Majuzi hapa (tarehe 11/06/2019) nilihudhuria Mkutano wa Taasisi ya Tanzanian Youth Vision Association (kwa kifupi huitwa *TYVA*) uliofanyika katika hoteli ya Tiffany DSM. Hao jamaa bwana ni matapeli sana. Walituandalia mkutano wa kujadili bajeti ya Taifa.
Cha ajabu na ndio maana niliamua kusepa zangu ni nilipogundua mle ndani ni upuuzi mtupu yani ni full kutumwa na mabeberu. Sikuwaelewa kwa nini wanatulazimisha vijana wa Tanzania kuandaa mikakati ya kuipinga serikali yetu.
Nimevumilia tangu siku niliachana nao katika kikao ila koromeo limeniuma sana na hii taasisi ikibisha haitumiki ntaeleza mpaka hela mnakozitoa. Shubamiti nyie.
Political Jourist,
University of Dodoma