VIJANA TAIFA la LEO

VIJANA TAIFA la LEO

Baq

Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
17
Reaction score
1
Na maanisha kwamba huu ni wakati ambao vijana tunapaswa kujitambua kwa kuchukua nafasi mbalimbali za uongozi pia tusisubiri ajira tujiajir kupitia ujasiliamali na ujuz tuliopata toka chuoni tusitumiwe na wanasiasa tuangalie kiongoz bora na tusiangalie chama
 
Huo ni upotofu mkubwa... Kwa hiyo tukishaangalia? Kwan wao ni mamiss? Halaf hujui tu kwann kuna vyama
 
Back
Top Bottom