Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 557
2015 nilimaliza form 4 pale Kawe Ukwaman sec Skuli nikaperform vizuri mshua akasema niende Advance maana result zilikuwa bomba Nikasema nipe hiyo Ela niende Veta Iringa mshua akatia ngumu mimi msimamo ukabaki pale nataka kwenda akaniuliza kusoma
nikamjibu umeme wa viwandani fresh mzee akanipa mtonyo nikafly mpaka Home kwenyewe kwa Mkwawa nikakuta hii kozi haipo nikachagua mechanics (ufund magar) ingawa hii kozi kuisoma nayo pasua kichwa walah fresh nikakomaa na spana zangu ila nisikufiche tu veta hakuna practicat kuna theoritical praticsl ipo kitaa gereji na workshop za makampuni kama pale azam na mo na wengineo.
ikumbukwe veta nimeingia 2017-2018 so baada ya kumaliza niliingia kutafuta sehemu niongoze ujuzi nikakomaa mpaka leo hii inshallah nimepata sehemu pakupata ugari.
Kipindi hicho vijana wa chuo wakiona tumetinga uniform zetu za veta wanatuchukulia poa mainjinia
VIJANA SOMEENI KAZI ACHENI MAMBO MENGI
Mechanics for life