Rorya is marwa kwa thuon and oyieyo will pass through yiendambewa. So ni sisi hawahawa wa kukaa chini nakutafakari kwa kina kuhusu rorya bila hivyo tutakuwa watu wa kulalamika kila kukicha. Tuungane tuwe kitu kimoja ili tulete maendeleo Rorya bila kuwa na ubaguzi. Wa kikabila.
Haya nipe mikakati yako ya kuhakikisha ujumbe wako unamfikia kila kijana wa Rorya,kagwa,kowak,waturi,Kakresu.Vijana wengi wa rorya wana uelewa mdogo,wana ushabiki wa kikanda nani wanachama wa vyama tofauti na wanapenda rushwa ndogondogo kama kununuliwa kichwa cha chengu kwa kura.
pale rorya vijana hawashtuki kwa sababu..
1.hawana elimu (hata hizi za kijasiriamali zilizozagaa siku hizi)
2.hawana movements..miaka yote wanaishi sehemu hizo tuu...hawajui huku nje maisha yako vipi..
3. Hakuna juhudi za dhati zifanywazo na wanarorya waliojanjaruka tayari katika kuwaamsha wenzetu ambo bado wamelala..
4.ushirikina mwingi.. Hata wanarorya wa mijini wengi wanaogopa kufanya maendeleo makwao kwa woga wa kurogwa.
Nini kifanyike?
1.volunteers ama agents maalum wajitokeze uundwe mkakati wa kutoa elimu...hasa juu ya ujasiriamali na matumizi ya hela....mfano. Vijana pale shirati-sota wanapata hela wanahonga tu na kunywa pombe...hawa-save wala hawawekezi.
2.ninyi mlio huku nje wavuteni wenzenu walio kule pindi nafasi zinapotokea. Sio kubaniana. Tuige wachagga katika hili.
3.pia...sisi ambao ambao angalau tumeshashtuka, tunaporudi huko tuonyeshe kweli tumeshtuka...sio kukaa maskani na wale vijana kuwaskiliza mawazo yao na kuwaacha hivyo hivyo ilhali unaweza kuwaongezea mawazo mbadala..ni unafiki..usipende tu sifa ukirudi kijijini kwenu unanga'aa ukawaacha wenzio wamezubaa..
Nawasilisha mawazo yangu.

maeneo ama vijiji vinavyochelewesha mabadiliko rorya ni buturi,kowak na utegi!
Maeneo ama vijiji vinavyochelewesha mabadiliko Rorya ni Buturi,Kowak na Utegi!
Mkuu heri jinalangu kidogo linaumhimu Jaluo yeyote akiona hilo jima lzm apitie hapo.ila ilo alinatatizo tuungane tufa ye utaratubu Wa kuamsha wana roryabwana sos peter jaluo,kusimama si tatizo la rorya wengi wanasimama je unanini cha kusimamia rorya. Pili ningeshauri uache hiyo jina la jaluo,rorya is multi lingual constituency hatutahitaji majina yanayoonyesha direct tribal,hiyo jina unaweza kulitumia vizuri sana kwenye matambiko yako kuomba mizimu ya kwenu, siyo kwenye jukwa la siasa kuongea maswala ya taifa.
Kodhluoch.

Nashangaa vijana wengi wamekuwa kimya na kutoongelea maswala makuu yanayoisibu Rorya,wamebaki kuwa watazamaji tu.
Amkeni sasa kodhluoch yuko nanyi 2015,kwa maswala yote ya kiuchumi.
Andieri thuonWatakuwaje kitu kimoja wakati nyie wajaluo ni watu wa kupenda majigambo na hampendi kusaidiana. Ninaongelea Rorya kama Joluo sababu almost 90 percent ya rorya ni wao. Mmekaa ki ukoo ukoo tu mara huyu jakamot yule jaturi mara mimi kwa odemba. Sasa kama watu wazima na wazito wa huko rorya mmeshindwa kuungana sisi vijana wa leo tutafanyeje...joluo uonge ki era!
Andieri thuon
Kweli mkuu heri ya jina langu kuliko yakeMbona na wewe unajiita KODHLUOCH? Nawe jina lako ni la kijaluo kwani yeye PETER. kafanya kosa. gani?