The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,059 Reaction score 121,311 Aug 9, 2025 #2 Una uhakika kua ni Vijana peke yao tu wenye tabia hiyo?
contask JF-Expert Member Joined Jan 3, 2021 Posts 969 Reaction score 1,997 Aug 9, 2025 #3 ACHA UFALA WAZEE NA WATU WAZIMA WALIOPO KWENYE SIASA WANALENGO GANI
Alloyce PR JF-Expert Member Joined Nov 15, 2020 Posts 810 Reaction score 877 Aug 9, 2025 Thread starter #4 contask said: ACHA UFALA WAZEE NA WATU WAZIMA WALIOPO KWENYE SIASA WANALENGO GANI Click to expand... Sasa wewe, unaelewa maana ya kusema "vijana wengi leo"? ukiangalia takwimu ya wazee wanaomba nafasi na wazee wanaomba nafasi? Ukiwa hujui kinachoandikwa uliza uelimishwe.
contask said: ACHA UFALA WAZEE NA WATU WAZIMA WALIOPO KWENYE SIASA WANALENGO GANI Click to expand... Sasa wewe, unaelewa maana ya kusema "vijana wengi leo"? ukiangalia takwimu ya wazee wanaomba nafasi na wazee wanaomba nafasi? Ukiwa hujui kinachoandikwa uliza uelimishwe.