Vijana mtasubiri sana ajira

Vijana mtasubiri sana ajira

kajansi

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
485
Reaction score
223
Nimeshutka sana leo bungeni kwenye mswada wa umwagiliaji! sheria inasema watakaochaguliwa kuendesha kanda za umwagiliaji ni lazima wawe senior public officer!!! wenye relevant qualifications!

Mbunge mpina amekataa ili iwe open kwa kila mtu mwenye qualification afanye application AG na wabunge wa ccm wamepiga kura ya hapana kwa kigezo kwamba vijana wenye qualification hawana experience na skills!!!!

CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Na huu uzoefu wa miaka 10 tutaendelea kusubiri haki ya Mungu
 
Nimeshutka sana leo bungeni kwenye mswada wa umwagiliaji! sheria inasema
watakaochaguliwa kuendesha kanda za umwagiliaji ni lazima wawe senior public officer!!! wenye relevant qualifications!

Mbunge mpina amekataa ili iwe open kwa kila mtu mwenye qualification afanye application AG na wabunge wa ccm wamepiga kura ya hapana kwa kigezo kwamba vijana wenye qualification hawana experience na skills!!!!

CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!


sasa wasipo ruhusu watu kufanya kazi huo uzoefu watautoa wapi? kila mtu si alikuwaga njuka au?
 
Nanunua uzoefu kwa mtu anaeuza uzoefu wa miaka kama 10-15 itakua poa sana hela nzuri itatolewa ni PM.
 
CCM wanajifanya sana,wacha wawe kwenye kamati alafu wakipigwa chini uchaguzi mkuu wakafanye kazi huko na wawaingize na watoto wao.
 
Jamani vijana mbona mna wivu sana...hata sisi tulikuwa wavumilivu sasa ndiyo tumekamata miaka 10 tuacheni nasi tupige 'mpunga' nayi mkifika miaka 10 kazini tutakuwa tunawakaribisha maana wengine nao watakuwa wanastaafu.
 
Hivyo vitengo vitachukuliwa na wazee waliostaafu na kupewa kiinua mgongo cha mamilioni ya shilingi, hakika CCM kimejaa watu wachoyo,waroho na wasiokuwa na maono.Lakini hili ni funzo kwa vijana wote wenye mapenzi mema na taifa.
 
Hii sekta ya umwagiliaji kama sijaielewa vile....kanda hiyo ndio kitu gani aisee? mpaka iwe na qualification kubwa na mauwezo?kwani kumwagilia nako kwahitaji degree hadi izungumzwe bungeni?
 
Kuna chuo cha kufundisha uzoefu kwa kipimo cha gpa atakae piga gpa ya first class atapatiwa uzoefu wa miaka kumi na atakaepiga pass atapata uzoefu wa miaka 2 karibun chuo kinatoa huu mtaala kwa semister 4 kwa maelezo zaid mni PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom