Vijana msioe kama bado hamjajipanga, unakuta mtu anampakiza mama mkwe kwenye gari kama passo, ist, vitz n.k

In Lemutuz voice
 
Wenzio tunabeba wakwe zetu kwenye Anita(baiskeli kubwa) na hakuna shida na bado wanatusifia tunavyojua kuendesha baiskeli hata kupanda milima mirefu!!
Mwanaume mashine tu ikifanya kazi ipasavyo oa,mwanamke hafuati gari anafuata mgegedo maridhawa!
 
ukute haka kavocha ka bando kaomba kwa Dada ake! lawama zoote kwa jiwe kwa nn kahalalisha mmea?
 
Nilivyoanza kusoma sikujua kama ni kiduku lilo ile nime maliza kusoma tu nikahisi huu mwandiko wa kiduku huu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Toyota Prado wanasema nazo si mbaya sana. Unaweza nunua ukawa unampakiza mama mkwe....
Thread yako imenichekesha.
Ila umesahau kwamba maisha yana madaraja na haitokaa watu wawe na kipato kinachoweza kulingana. Afadhali hao wa vits kuna wengine wanawapandisha daladala na wengine wanawatembeza juani.
Kuna mwingine safari ndefu yeye anatembelea private jet naye atakushangaa unafunga safari hapa to dodoma na gari eti prado sijui V8 hao ndiyo matajiri wa dunia.
Kila mtu anatamba kwa uwezo wake kila kijana akisema asubiri anunue prado, asilimia 99.99 watakufa bila kuoa.
 
Wenzio mama mkwe tunambeba kwenye ANITA (baiskeli kubwa) na bado mama mkwe anafurahi na binti yake anatoa penzi kiroho safi.
Kidukulilo acha kujipa kiki za kihanithi.
 
Haya ni majigambo ya masharobaro wasio hata na Mia mfukoni
 
Hakika sitaoa nimpe tabu mtoto wa watu.. ntaendelea kuzisaka pesa, nisije kuadhrika kama jamaa yako.

Nikiwa mkubwa nitakua kama wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…